Mwalimu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,581
- 1,069
Dola milioni 5 za kitanzania???Huyu jamaa anamiliki utajiri wa zaidi ya dola milioni 5 za kitanzania sawa na bilioni 12 za kitanzania
View attachment 1929006
Dola milioni 5 za kitanzania???Huyu jamaa anamiliki utajiri wa zaidi ya dola milioni 5 za kitanzania sawa na bilioni 12 za kitanzania
View attachment 1929006
Kizazi cha mondi hiki full ujingaIla wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
manake huna mtoto au wewe na mwanao wote ma-jrJr..!
Hilo ndilo la maana..Ngoja nami nitafute zangu nije kuandikwa.. Utajiri wa Jr ni dola bilion 2
Mi nataka kujua mbona hii mimba imetrend sana, imekua talk of the town....kuna nini behind?Tunaamuaje?
Rotim shemeji wa TaifaMi nataka kujua mbona hii mimba imetrend sana, imekua talk of the town....kuna nini behind?
Swadakta, Mungu akufanyie wepesiNgoja nami nitafute zangu nije kuandikwa.. Utajiri wa Jr ni dola bilion 2
Sawa, ila mimba mbona kama imekua gumzo au kulikua na tetesi vee hawezi kubeba? Mbona ni gumzo yani....lulu, tunda haijawa hiviRotim shemeji wa Taifa
Si unajua umri vee umeenda kidogo halaf kazaa na mwanaume wa maana watu hawajategemea walijua wataachana mapema tuSawa, ila mimba mbona kama imekua gumzo au kulikua na tetesi vee hawezi kubeba? Mbona ni gumzo yani....lulu, tunda haijawa hivi
We ukijitahis sana utafika kwenye dola laki 1Ngoja nami nitafute zangu nije kuandikwa.. Utajiri wa Jr ni dola bilion 2
Kumbe muhenga mwenzetu 😂😂, hongera zakeSi unajua umri vee umeenda kidogo halaf kazaa na mwanaume wa maana watu hawajategemea walijua wataachana mapema tu
Kweli pesa imeondowa utu duniani, mtu wa hovyo anaweza onekana wa maana na mtu wa maana kuonekana wa hovyo kwa sababu hana mawe.Si unajua umri vee umeenda kidogo halaf kazaa na mwanaume wa maana watu hawajategemea walijua wataachana mapema tu
Mkuu imenishangaza kuna rfk yangu men na mdogowangu wakike wamemweka status niwauliza kvp?!vipi mmeshamaliza kupost picha zake kwenye status zenu akiwa na mweza wake mjamzito??
Matola unajua warumi amefarikiKweli pesa imeondowa utu duniani, mtu wa hovyo anaweza onekana wa maana na mtu wa maana kuonekana wa hovyo kwa sababu hana mawe.
Unasema kweli? Ndio maana napita huku kumepowa?Matola unajua warumi amefariki
Ww una utajir wa gizaNgoja nami nitafute zangu nije kuandikwa.. Utajiri wa Jr ni dola bilion 2
Amezikwa mbeya ,amefariki wiki kadhaa zilizopitaUnasema kweli? Ndio maana napita huku kumepowa?
Amefariki lini na wapi? Amezikwa wapi? My deeply condolence.
Hii miaka mitatu Israel hajawahi kwenda rikizo kwakweli.