Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mpaka anafikia huko kote ni kutofikiria kwake na kutokuwa na maamuzi. Mtu anaambiwa unisitiri anakubali haya bila hata kujua how atamsitiri. Fanya hiki au kile ni kukubali tuu haya.
Hata tamaa ya pesa kutanguliza mbele alizidi.
Ngoja tuone episode ijayo kama atachomoa au vipi maana hadithi zake mnachofikiria yeye anakuja kupangua inakuwa tofauti kabisa. Kama watu waliivyohisi maya kachukia master kulala na mwanamke mwingine kumbe sababu ni tofauti.
Pesa huwa inachanganya aisee

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Hili ni kweli, utajiri wa masharti tumeona watu wana kwepa, kwa njia hiyo. Kuna matajiri wengi wakubwa mzee hawatumii magazine hapa mjini ? wengine hawali vizuri. kama ingekuwa ni real asingetumia gari mkenge wa rehema asinge uvaa
Brother ungepunguza kimasihara kwenye huu uzi ingekuwa vizuri sana

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mpaka anafikia huko kote ni kutofikiria kwake na kutokuwa na maamuzi. Mtu anaambiwa unisitiri anakubali haya bila hata kujua how atamsitiri. Fanya hiki au kile ni kukubali tuu haya.
Hata tamaa ya pesa kutanguliza mbele alizidi.
Ngoja tuone episode ijayo kama atachomoa au vipi maana hadithi zake mnachofikiria yeye anakuja kupangua inakuwa tofauti kabisa. Kama watu waliivyohisi maya kachukia master kulala na mwanamke mwingine kumbe sababu ni tofauti.
Ni vile tu maisha haya ni siri ya mtu ila ingekuwa unapata wasaa wa kuyafahamu naamini usingemlaumu huyu ambaye Leo hii boda boda na hii ni Baada ya kutoka huko anakutusimulia! Wapo watu maisha yao ndio huko huko na wanaona aibu kutoka maana watafilisika
 
Kitu kingine ninachojiuliza wewe UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.
Kwa mganga sio darasani mkuu,Hata wewe Leo ukipelekwa tu police kuhoji inakuwa ngumu sembuse kwa mganga

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka anafikia huko kote ni kutofikiria kwake na kutokuwa na maamuzi. Mtu anaambiwa unisitiri anakubali haya bila hata kujua how atamsitiri. Fanya hiki au kile ni kukubali tuu haya.
Hata tamaa ya pesa kutanguliza mbele alizidi.
Ngoja tuone episode ijayo kama atachomoa au vipi maana hadithi zake mnachofikiria yeye anakuja kupangua inakuwa tofauti kabisa. Kama watu waliivyohisi maya kachukia master kulala na mwanamke mwingine kumbe sababu ni tofauti.
Mkuu tambua kwanza kila mtu anapoamua kufanya jambo Fulani, intention yake huwa ni nzuri

Lakini matokeo yake huja sawa na kusudio lake au tofauti na hapo

Endapo yakiwa tofauti ndio tunatafsiri kwamba alikosea kufanya maamuzi

Hili jambo Kila mtu hufanya na kumtokea

Kwa upande wangu naona UMUGHAKA yupo sahihi
 
Dah rehema maskini kama namuona ...muuza juicy wa watu mzuri wa umbo inaenda kuwa bye bye

Wadada mkipewa zawadi za chupi kawekeni makumbusho tu hizi zingine sio njema

Ile siti mbele atakuwa anakaaga Maya so akikaa mtu anakuwa kamkalia, kamchosha. Itakuwa Maya kwenye hizo gari anasafiri yeye akiwa mbele. Kumbuka bado kuna utata wa Maya kuwa Farha, utakuta Maya mdie anauzaga na duka kwa sura ya Farha.

Story Omughkha zinachomekea vionjo ambavyo mbeleni ni kiungamishi. Imezidi kuwa ya moto homeboy @omughakha
 
Kitu kingine ninachojiuliza wewe UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.
Yes exactly na huu udhaifu wa master umeonekana kwenye story zake za nyuma pia kama ile ya mchawi wa kijijini kwao napo alionyesha udhaifu sana wa kupelekwa pelekwa tu na yule binti Monica bila kureason na kuweka misimamo.

Anyway ila ni udhaifu kama ilivyo madhaifu mengine ya binadamu but kuna muda unatakiwa kupambana against your weaknesses
 
Kitu kingine ninachojiuliza wewe UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.

Ni simulizi hii mkuu. Hadithi chukulia kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom