Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mi' nashauri, kwa yeyote anayetaka kutuletea hadithi hapa, awe amejiandaa. Hayo mambo ya tutaendelea..... Yabaki kwenye TV na magazeti.
Wakongwe wenzangu watakumbuka enzi zileeeee za gazeti la SANI, lilikuwa halina siku maalumu. Laweza kutoka leo, litalofuata, basi ni baada ya mwezi, au hata baada ya miezi mitatu!
Basi, wasomaji wa hadithi pendwa zile za akina SAID BAWJI, NICCO YE MBAJO pamoja na ile michoro ya PHILIP NDUNGURU, mtasubiriiiiii weeeee, mpaka mnasahau mlipoishia!
Haya mambo ya… TUTAENDELEA… wasimuliaji wetu, tuyapunguze!
Kuna mwamba anaitwa DeepPond hanaga mbambamba

Anamwaga zigo biashara inaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom