Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna vitu nimeanza kuviamini kwa wale mnaosema jamaa anacopy na kupaste...

1. Scenario ya ugonjwa wa Babu ,
Iko hivi, babu yangu alishawahi kuugua ugonjwa Kama huo na aliwekewa mpira hivo hivo...
Huwezi amini alikuwa na ukorofi uliopitiliza.. saa zingine Kama hivo anajisaidia kitandani , yaani alikuwa na kiburi Cha hali ya juu.. jamaa nimekuelewa Sana hapo...!
Lakini pia Mjomba wako Niko sio kwamba alikuwa hakupendi..la hasha ni vile tu alikuwa amewekwa kwenye kiganya na mkewe! ...
Na umesema ni marehemu kwasasa... , na umesema mkewe ni MTU wa kaskazini... Najaribu kuwaza beyond the scene

2. Jamaa yako kuishi Kivule...
This is true, Wakurya wengi Sana wanaishi ukanda huu wa kuanzia Banana , kwenda Mbele huko Kivule, Bombambili, Kwa mwanagati, na maeneo mengine ya Gongo la mboto...

Story yako naanza kuiamini japo wengine wanaibeza...Kuna vitu vya kujifunza pia...
Tuendelee
Shida watu wanaupeo mdogo kwa hiyo wanaona ni vitu haviwezekaniki na ni vya kutunga. Wangekua wanasomaga hata story za kutunga wangegundua mtiririko ni tofauti kabisa na wa matukio ya kweli
 
Umughaka episode ifuatayo isimulie kwa details zaidi hasa kwenye tukio la kumla Maya. Ikiwezekana episode nzima simulia ya chumbani tu ukiwa na Maya achana na vipengele vya kwenda kula kiepe wala kwenda kusajili line.

Tunahitaji kujifunza kitu hapa mkuu

Nakazia hii episode ijayo iwe mahususi kwa ajili ya mtanange tu kati yake na maya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom