Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna misukule mingine humu inadhani ni true story kumbe ni stori ya kutunga
Chagua size yako nikununulie msukule wangu.
IMG-20221216-WA0006.jpg
 
Sikuamini macho yangu, hilo jitu liliendelea kula kwa speed 360 pasipo kunitazama Wala kujali uwepo wangu

Ila ghafla liliniambia "we mkurya unyama Sana" kiufupi unaupiga mwingi mkurya

Likanipa sharti nilimbie moja ya nyimbo zifutazo, kati ya nitaubeba au utu,.

Nilivyo jeuri, nikaamue nipite na verse ya saida karoli weeee nilikiona Cha moto
Jf ina vichwa mbovu sana ungemwimbia amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
 
Sasa nilipomaliza kuufungua ule mlango nikiwa nimegeuza mgongo naondoka ili nitoke ndani nifunge mlango niondoke,aisee nilisikia nimesukumwa na nguvu isiyokuwa ya kawaida,ile nataka kuanguka chini nilimuona kiumbe wa ajabu ananipita kwa kasi ya ajabu akiwa uchi kama alivyozaliwa akikimbilia sebuleni na kuanza kuyafakamia yale makabeji kwa spidi kali mno,nilipokuwa bado naendelea kushangaa na kuhamaki yeye hakuwa kabisa na muda na mimi.
Mkubwa UMUGHAKA mbona kipindi kile huyo kiumbe ameshinda njaa na kapasua pasua glass kesho yake ulipomfungulia mlango hakutoka kwa fujo kama hizi au alijua kuwa ilikuwa ni bahati mbaya
 
Na Kuna misukule humu inaamini ni story ya kutunga
Naomba kila msukule abaki na imani yake, hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijui kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma namba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
 
Mkubwa UMUGHAKA mbona kipindi kile huyo kiumbe ameshinda njaa na kapasua pasua glass kesho yake ulipomfungulia mlango hakutoka kwa fujo kama hizi au alijua kuwa ilikuwa ni bahati mbaya
Ngoja nimsaidie umughaka,,siku ya kuvunja vyombo hakukuwa na chochote cha kula fujo zikaishia kwenye vyombo . Lakini mara hii katoka mbio maana kwa vyovyote anajua msosi upo na fujo zikaishia kuachia master ute mzito apige deki 😄
 
Naomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe

Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya

Kwa hiyo unahitaji msaada gani ndugu? Ngoja sisi tuendelee kudanganywa, wewe tafuta stori usizodanganywa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom