Utajiri wa masharti ni mateso

Ukibanwa na tumbo la kuendesha usiku itakuwaje? Masharti Mengine mmmmmmhhh!
 
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo

Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma

Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Lazima itakua kiume chake,hakifanyi kazi
Hata uwe na ghala limejaa noti,kama chini kumekufa ni kazi bure
 
Usipende kuhukumu usije nawe ukahukumiwa, kipimo hichohicho unachotumia kuhukumu wengine ndicho na wewe utahukumiwa nacho.
 
Its better to cry in Marcedes than on bicycle!
 
Usitembee na mke zaidi ya mkeo
Usile nyama
Usile hotelini
Usilale gesti
Usivae nguo nzuri
Usinywe pombe
Usipeleke watoto shule za kulipia n.k n.k
Kwa masharti hayo unahitaji ndagu tena au ujinga tu
Hapa ndiyo waganga wanapotulia hela, anakupa masharti ili usitumie hela kirahisi, unamake pesa nyingi na huzitumii. Hapo kuwa tajiri ni rahisi ukiamini dawa ya mganga ndiyo imekutoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…