stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
Una mke au watoto?Wakuu mimi nataka hela za majini au za kutumia ushirikina maana kwa kawaida nimezitafuta nimekosa.
Naomba mwenye uelewa na hizi mishe anicheki PM anipe msaada.
Nipo tayari 100%.
@RakimWakuu mimi nataka hela za majini au za kutumia ushirikina maana kwa kawaida nimezitafuta nimekosa.
Naomba mwenye uelewa na hizi mishe anicheki PM anipe msaada.
Nipo tayari 100%.
Kwann idadi ya waliochagua utaratibu huo inakuwa kubwa na kwaeneo kubwa?Wakati mwingine ni utaratibu tu wa maisha ya mtu hauna uhusiano wowote na ushirikina.Otherwise endelea na mawazo yako ya ushirikina!
Matajiri wa kilimanjaro nao ni majambazi ya kutumia bunduki hawaoni shiida kuua mtu hili mradi apate fedha hawaoni hatari kukudhukumu hili tu awe tajiri,si bora ya mkinga hata akiuwa ni ndugu yake kuliko kutoa uhai wa mtu huna uhusiano nae,mfano mauaji ya bilionea msuyaDuh hivi vitajiri vya huko njombe Ni vijinga mno kwann visijifunze ku fight Kama matajiri wa kilimanjaro? Huoni matajiri wa kilimanjaro walivyo develop? Sio unajiita Tajiri alafu eti unalala nje Kama mlinzi
Kama ndagu rahisi haribu wewe uone .Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Usipoishi propprtional na hela zako, hasa kama una hela halafu unaishi kama huna hela, lazima uonekane mchawi..... KUNA MMOJA ALIKUWA ANA GESTI PALE FOREST YA ZAMANI MBEYA .. TENA ZILIKUWAGA MARUFU SANA ..MOJAWAPO ILIITWA MAGODA GUEST AND BAR... MWENYEWE NI MWENDO WA NDALA MWANZO MWISHO... MKINGAWakati mwingine ni utaratibu tu wa maisha ya mtu hauna uhusiano wowote na ushirikina.Otherwise endelea na mawazo yako ya ushirikina!
mkuu unautaka utajiri na wewe??
Picha ya nini we mwehu?lete picha
Unaweza kuta ana uume kashautoa kafara au ni "mke wa mgaga"[emoji2]Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Hali ya maisha ni ngumu na yahitaji moyo kupambana katika utafutaji wa pesa,wengine huona hiyo ni njia rahisi kuliko njia zingine za kawaida.Kwann idadi ya waliochagua utaratibu huo inakuwa kubwa na kwaeneo kubwa?
Utani huo aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuta ana uume kashautoa kafara au ni "mke wa mgaga"[emoji2]
Masharti yako mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa maskini na bado ukafa ukaenda motoni,so mtu unatakiwa upambane kivyovyote utoboe usiteseke duniani na ahera ukateseke tenaEti Masikini ndio wataenda mbinguni !
Hivi kwa nn wajinga mmekaririgi kua sisi watu wa Kilimanjaro hela zetu ni za bunduki!?watu Wana hustle usiku na mchana kutafta pesa unakuja sema oooh majambazi,oooh sjui waizi!!!pambana tafta acheni kua na chiki na watu wa kaskaziniMatajiri wa kilimanjaro nao ni majambazi ya kutumia bunduki hawaoni shiida kuua mtu hili mradi apate fedha hawaoni hatari kukudhukumu hili tu awe tajiri,si bora ya mkinga hata akiuwa ni ndugu yake kuliko kutoa uhai wa mtu huna uhusiano nae,mfano mauaji ya bilionea msuya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Na kilolo je!! Ushirikina upo!!