Utajiri wa masharti ni mateso

Lakini Sisi wa huku Mlowa,nyamahana,nyamihuu na kidamali hatuyajui hayo mambo ya 'ndagu' utajiri wetu ni wakupambana yaani ni utajiri USO na chembe ya ushirikina, tunalima nyanya, mahindi na mpunga kwa jasho baada ya miaka kadhaa suala ya kumiliki ma fuso, coasterz na mashine za kusaga ni jambo LA kawaida tu kwani pesa huwa IPO ya kutosha.
 

Tatizo kumbe kutembea nje ya ndoa?

Ndagu pia mwanza
 
Kuna mmoja yupo pale Kariakoo jina kapuni,ana ghorofa mbili na Biashara nyingi tuu,lakini anavyovaa sasa huwezi amini,kila weekend lazima aende kwao njombe tena hapandi Bus wala gari binafsi bali ni zile fuso za pale Jangwani huku kabeba mfuko wa rambo.
 
Ndagu nk nini???!
 
Kasisi sio ndio alikuwa anaishi ilemi nyumba yake haina hata bomba la Maji wanachota kwa Jirani wakati yeye ndio almost tajiri wa Mbeya. Nyumba yake ya Block T yenye kila kitu kampa Dada yake [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hahaha Kuna jumba jingine lake kuubwa halijakamilika miaka nenda Rudi lipo pale jirani na hospital ya mkoa wanaishi popo
 
Hahaha wanapata tabu sana
 
Yule Yule jamaa huwa namuonea huruma tuu wakati yeye ndo alitakiwa anioonee Mimi huruma
Muda woote yupo ndani
 
Inafanana na ukweli,pia usioge
 
Huu ujumbe unawaface mazima wakinga
 
Waganga ni watu wajanja sana. Kwa masharti hayo umakuwa unabana matumizi ya fedha uliyonayo na itabaki kwenye mzunguko wa biashara tu. Utakosaje kuwa na pesa nyingi wakati unazalisha sana unakula kidogo. Tufunguke akili
Kwahiyo hata akikacha masharti akaendelea na lifestyle hiyo, ataendelea kupiga pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…