Where's your point exactly?! Unabisha suala la kugundulika gas huko Kusini mwa Tanzania au unapinga nini hasa?!Kwa hiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba hiyo Gas iliyopo deep sea italeta uchumi hapa Tanzania?,hakuna watu wa hovyo kama wanasiasa na wale woote wanaowalinda hovyo sana,why do you praise these stupid politicians,you know what? they work for satan, they are satanism,they can eat you alive ,there on throne not to make you live happy and enjoy on this earth never ever,they can suck you're blood anytime you go against them, they 're shit dude.
They can tell you anything sweet,they can tell you never told stories,sometimes they can make you dance they're sweet music like uchumi wa viwanda au uchumi wa gas au kilimo kwanza au BRN,these dude politicians they can't take you anywhere even to the promised land.
Huyu shetani anaetumbua watuni kiongozi msanii kuliko tapeli yeyote duniani,bora Trump aendelee kuvurumisha matusi labda 4G itasoma kwa nyumbu ways wanaotuhadaa kwa kuhama Kenya to Tanzania then oppositeMleta uzi anasahau mswaada ulipitishwa usiku wa manane, wapinzani hawahawa wakiwa wamefukuzwa ukumbini na spika. Ile ilikuwa kuiuza gas hiyo kwa mikataba sawa na ya madini mengine. WaTz hatuna wa kumlaumu tujilaumu wenyewe kwa kuendekeza uongozi huu wa CCM.
Innovation outside ccm is required.those are monkey with tail.Are you aware of recently price decline of natural gas worldwide? If so could this not affect the investing morale of due investors? In that course, how could someone shout natural gas is still a big economic deal?
Kwa sasa utasikia "Tupo kwenye upembuzi yakinifu"Utawasikia "Tupo kwenye michakato"
Kumbe Ndo mana wakina Ghati Mwita walipelekwa Norway na Statoil??? Damn!Hakuna mwekezaji wa kuwekeza matrillioni tanzania katika kipindi hichi tunachopita. Wenye vitalu vyao wameamua kusubiri mpaka hali ieleweke zaidi. Kiuwekezaji, ni dhambi kubwa kuchukua hela za wanahisa na kuzidumbukiza mahali unapojua zinaenda kufa badala ya kuzalisha.
Naona Statoil, mmoja wa wenye vitalu, ameamua kutumia muda huu kufanya kampeni ya kuwaekewesha watz faida ya uwekezaji mkubwa mkubwa. Angalia ITV wakati wa taarifa ya habari utaona nachosema. Imebidi waingie hii gharama kwa sababu wamegundua watz tumehubiriwa siasa ya ujamaa muda mrefu mno mpaka tunaona mwekezaji mkubwa yeyote ni mnyonyaji. Watz wanaamini kuwa kazi ya mzungu ni kutoa msaada tu, na wakiona anafanya biashara au kuwekeza kitega uchumi basi fasta wanasema anatuibia au anatunyonya.
Hahaha mbona hata wewe mzalendo sijaona ushauri wako kwa wazalendo wenzako?!AMANI..
UZALENDO SIYO PALE SIYO PALE UHURU WAKO UNAKOISHIA NDIPO WANGU UNAKOANZIA, HAPANA.
PAMOJA NAKUWEKA BAYANA MAKOSA AU MAPUNGUFU AU UTENDAJI ENYE KHITLAFU YA AINA YEYOTE, NIVYEMA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA NCHI KTK HUOUKOSOWAJI.
LA SIVYO, UTAKUA UNATENDA KOSA JUU YA KOSA.
UZALENDO NI KUIHESHIM BENDERA YA NCHI NA NCHI KWAUJUMLA, BILA MATUSI AU KASHFA.
ZUNGUMZIA MASWALA KWAKUTUMIA MANENO SAHIH NA BUSARA YAKUELEZA :
"WEWE UNGEFANYA 1) 2) 3)" ..
TOA MAONI YAKO NA USHAURI WENYE MANUFAA NA JINSI GANI UNGEONA SAHIH UTEKELEZAJI.
U Z A L E N D O
Sasa kulikuwa na haja gani kuupitisha harakaharaka bungeni kama bao la jogooyawezekana hufuatilii masuala ya nchi yako, ila umeendekeza siasa. gesi haijaanza kuchimbwa, ila mchakato unaendelea na sasa mazungumzo ya kujenga NLG plant mkoani lindi kwa makampun washirika na serikali unaendelea. mchakato wa gesi is not an overnight event, it is a process, inapitia procedures mbalimbali. ges inayotumika sasa ni ya mda mrefu kutoka msimbati na songosongo, na ndio inayosafirishwa kwa bomba hadi dar es salaam. kama hujui jambo ni vema ukatafuta taarifa sahihi kuliko kubwabwaja tu mitandaoni
Ha ha ha ha! where is you're point exactly,ha ha ha ha! people of the Republic of Danganyika.Where's your point exactly?! Unabisha suala la kugundulika gas huko Kusini mwa Tanzania au unapinga nini hasa?!
Mambo mengine mtu unacheka mwenyewe tu kama mjinga....We mchochezi sie tuko busy tunawaelezea wanainchi kuhusu uchumi Wa viwooonder we unaturudisha nyuma ndio nyie wasaliti
baba naona umejilipuaMiaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya gesi asilia, na moja kwa moja viongozi wa nchi wakatuambia sasa umasikini ndo bye bye. Wimbo maarufu ulikua uchumi wa gesi, huku mahubiri ya kisiasa yakichagizwa na matumaini kwa watanzania kuwa wakati wetu wa kuuaga umasikini umewadia.
Nani asiyemkumbuka Prof. Muhongo alivyosimamia mahubiri haya, lakini pia serikali ya CCM ilivyofikia hadi hatua ya kupeleka Polisi na Jeshi kudhibiti watu kule Kusini ili uchimbaji wa gesi ufanikiwe. Ziara zikafanyika nchini Algeria na Urusi ili kupata uzoefu wa kuendesha uchumi wa gesi.
Cha kushangaza, hakuna tena anayeongelea kuhusu uchumi wa gesi wala kuuaga umasikini kupitia uchumi wa gesi.
Huu utajiri wa gesi umepotelea wapi hivi?
Jibu ulichoulizwa badala ya kujichekesha chekesha!Ha ha ha ha! where is you're point exactly,ha ha ha ha! people of the Republic of Danganyika.
we have got diamond,gold,gas,urenium,Nikel and all shit,does these stuff take you anywhere?
Umeongea kweli.Serikali laghai huwa hazina mipango madhubuti inayoeleweka zaidi ya blah blah zenye kulaghai wananchi wake kwenye majukwaa ya kisiasa
Ok sawa ngoja tusubiri hiyo gas yako ya deep sea,African tuna matatizo sana.Jibu ulichoulizwa badala ya kujichekesha chekesha!
Btw, mie nilizungumzia suala zima la uwepo wa gas! Sasa unadhani hiyo hoja inahusiana na nilichosema mimi?
Lemme tell you something... read the comment-- understand it-- respond na sio unakimbilia ku-respond wakati hujui una-respond nini!
Eti gas yako! Mleta mada kahoji how come hamna lolote kuhusu gas iliyokuwa iliyokuwa inapigiwa mbiu na akina Muhongo hadi kufikia kupeleka polisi!Ok sawa ngoja tusubiri hiyo gas yako ya deep sea,African tuna matatizo sana.
Tusijibizane sana mkuu drop it.