Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

"This country Bwana is very Poor" ~ Mpoto's voice
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kabla ya gesi walisema pia mkonge wa mawasiliano ukishakamilia,gharama za mawasiliano zitakuwa ndogo......leo hii mkonge ulikamilika na gharama bado ni kubwa

Na mawasiliano yenyewe sifuri kabisa [emoji35][emoji35][emoji35]
 

Achana na mambo ya GAS tuko kwenye kununua na kuua upinzani kwa kasi ya ajabu ili tuweze kupata viwanda
 

Subiri mamsap hajarudi likizo ya uzazi atakujibu hili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kichanga cha nchi kwanza. Mambo mengine yatakuja yenyewe taratibu [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu tena vyerehani vya kushonea magauni ya batik zinazoingizwa nchini kutoka CHINA.
hehee...malighafi tumeshindwa kuzizalisha nchini tunaziagiza,viwonder hoyeeee!
 
miaka kadhaa iliyopita tulipewa taarifa ya ugunduzi wa ma million cubic ya ujazo ya GAS asilia,
Hadi sasa ripoti zinaonesha 57 trillion cubic feet ambayo ni takribani 1.6 TRILLION Cubic Meters!

1. Gas sio story but it's real... ninachoona ni mitazamo tofauti kati ya JK na JPM. Wakati JK aliamini katika uchumi wa gas, JPM anaonekana kuamini katika uchumi wa madini (achana na porojo za viwanda).

2. Kwamba Gas imechukuliwa na Wachina ni propaganda tu za kisiasa! Kilichofanyika hadi sasa ni exploration tu... uchimbaji wa gas hujafanyika kabisa.

Na katika kufanya exploration, ni makampuni ya mafuta ya Ulaya na America ndiyo yalifanya hiyo kazi kwa pesa zao wenyewe.

There's no way mtu anaweza kutumia mabilioni ya shilingi kufanya exploration halafu agundue gas kisha ampe Mchina.

3. Uchimbaji wa gas, hususani inayopatikana kina kirefu ni very expensive! Industry ya oil na gas kwa ujumla wake ni very expensive! Angalia tu kile kiwanda ambacho kilikuwa ndio kiwe gas processing plant... kilikadiriwa kufikia gharama ya $30 Billion.

So, kwa mazingira ya sasa ambayo serikali haitabiriki itakuja na jambo gani, ni kama limefanya investors wanarudi nyuma kusikilizia! Na wala sioni kama ni top priority ya JPM ukilinganisha na anavyohangaika na madini!
 
Kama unajua inatoka nje domo la nini kuwa makini utatolewa mahali.
nchi ni sisi sote if you mess up something i got right to act.Kama hujui jambo ni bora ukamfuata mtu mwenye sifa zilizotukuka,vinginevyo tutabakia kuwa Sheet hole states.
 
TUWE WAZALENDO, [emoji304] OPTIMISTIC POSITIVE THINKING IS HEALTHY AND CREATIVE
Hahaha kuwa mzalendo ni mimi kuwa na mawazo sawa na yako? Au kuamini kwamba yanayofanywa na serikali ni sahihi hata kama mimi naona siyo sahihi?! Au ndio kusifia uongo na kupindisha ukweli?!
Wachimbaji wote huwa wanaondoka bila kufukia mashimo, kuthibitisha kasome report ya bulyankhulu uone, hivyo kukumbusha wataalamu wetu waje nataaluma hiyo ni kuipunguzia nchi gharama kutafuta kampuni za kigeni kufukia mahandaki. Uzalendo upi unataka niwe nao, zaidi ya huo?! Au wewe ni miongoni mwa vijana mliohitimu JKT tulioambiwa mmeenda kujifunza kuwa wazalendo?! Tufundisheni huo uzalendo mpya basi nasi tuufahamu.
 
Achana na mambo ya ajabu ajabu ya uchumi wa gesi...kwa sasa tuko kwenye uchumi wa viwanda...mambo ya gesi yashakuwa zilipendwa.
Hahahahaha, looooh,uchumi wa viwanda tushamaliza, sasa hivi tuko na uchumi wa marudio ya uchaguzi
 
Mpk tunafika 2020 tz itakuwa ishakimbiwa na wawekezaji karibu wote.
 
Juzi nmesikia uchumi wa Gas ya Helleum inayopatikana kwa wingi Tanzania tu Duniani kote[emoji16][emoji16]...nahisi tutanunuliwa kila mtu Lamborghini yake kwa hii Gas
 
Mkuu hao wapinzani wataongelea wapi wakati mikutano ya siasa imepigwa ban?
Serikali ya viwanda ndo yunakomaa nayo. Acheni siasa ati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…