Utajiri wa gesi umepotelea wapi?


Umepotelea njiani wakati wakiamia Dodoma!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Utajiri wa kweli ni akili (kichwani). Rasilimali za asili hugeuka kuwa utajiri kama una akili. Kama huna akili, rasilkmali hizo huweza kugeuka hata kuwa laana.

Siamini katika awamu hii kama kuna rasilimali itakayokuwa na msaada kwa ukuaji wa kasi wa maendeleo ya nchi.
 
Achana na mambo ya ajabu ajabu ya uchumi wa gesi...kwa sasa tuko kwenye uchumi wa viwanda...mambo ya gesi yashakuwa zilipendwa.
Ni viwanda vyenyewe hasa tunaongelea vyerahani visivyopungua vinne.
 
Awamu hii wachaga tumeumia
Me binafsi sio mchaga ni mnyamwezi,, Ila huwa najuta kwann sijazaliwa uchagani au unyakyusani au kwa wahaya, , hayo ni makabila ya watu wanaojielewa na wenye upeo, na wanachukia umaskini, tofauti na wewe mndengereko ambae kwenye nyumba yako ya nyasi umefunga mbendera wa CCM hadi nyumba inataka kuanguka kwa kuzidiwa na uzito wa bendera
 
Serikali laghai huwa hazina mipango madhubuti inayoeleweka zaidi ya blah blah zenye kulaghai wananchi wake kwenye majukwaa ya kisiasa

Mkuu hizi ndio hoja wapinzani wanapaswa kupanda nazo majukwaani kuonyesha umma kwamba wanahadaiwa. Hili la uchumi wa gas likipata mtu mzuri wakati wa hizi kampeni dakika 5 tu kila mkutano litawafanya ccm kupanda jukwaani kujitetea na sio kuuzia wananchi maendeleo Kiduchu/hewa. Akipatikana mpinzani mwingine, anasifia kidogo ujenzi wa SGR ili kuchota akili za wananchi, kisha anakandamiza maelezo ya kina yatolewe kwanini reli zilizoko zimedondoka mpaka kufanya chini ya ufanisi, na matatizo hayo hayatoikumba reli hii mpya? Kuna mambo mengi wapinzani wanaweza kuifanyia damage serekali ya ccm bila kuingia kwenye mikwaruzano isiyo na sababu.
 
V
saa hz ni uchumi wa viwanda..nunua vyerehani vi4 mambo yaendelee
vyerehani vinne vitashona labda uniforms za wanafunzi tu wakifungua shule, apart from that watu wanavaa mitumba
 
Acha maswali wewe kijana, tutakuagizia Nissan Nyeupe kaa kimya.
 
Na pia walopitisha takataka hizo eti ndo wanajisifu kuwa wazalendo.
 
Mbona umecomment kama kuna bifu..?? YEYE AMEULIZA TU. Ulitakiwa kumjibu na sio kumtolea povu.
 
V

vyerehani vinne vitashona labda uniforms za wanafunzi tu wakifungua shule, apart from that watu wanavaa mitumba
mh.Waziri alisema ukiwa na hivyo ni viwanda tayari
 
Kweli kabisa wapinzani wanapaswa kujenga hoja zenye mantiki ili kuufahamisha umma namna gani taifa hili linakosa mwelekeo wa kiuchumi sababu ya mipango mingi kufanywa pasipo utafiti wa kutosha na matokeo yake kunakosekana ubora wa mipango husika
 
Siasa vs reality, ni kama Mashabiki wa Arsenal wanavyosubiri Wenger amnunue Aub.
 

Hakuna mwekezaji wa kuwekeza matrillioni tanzania katika kipindi hichi tunachopita. Wenye vitalu vyao wameamua kusubiri mpaka hali ieleweke zaidi. Kiuwekezaji, ni dhambi kubwa kuchukua hela za wanahisa na kuzidumbukiza mahali unapojua zinaenda kufa badala ya kuzalisha.

Naona Statoil, mmoja wa wenye vitalu, ameamua kutumia muda huu kufanya kampeni ya kuwaekewesha watz faida ya uwekezaji mkubwa mkubwa. Angalia ITV wakati wa taarifa ya habari utaona nachosema. Imebidi waingie hii gharama kwa sababu wamegundua watz tumehubiriwa siasa ya ujamaa muda mrefu mno mpaka tunaona mwekezaji mkubwa yeyote ni mnyonyaji. Watz wanaamini kuwa kazi ya mzungu ni kutoa msaada tu, na wakiona anafanya biashara au kuwekeza kitega uchumi basi fasta wanasema anatuibia au anatunyonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…