Utajiri wa Freeman Mbowe

hivi ukikopa unahesabika mwizi siku hizi?
Wengi tu wamekopa na hakuna noma wala majotro.
Epa imekopwa
Kagoda imekopwa
Meremeta imekopwa
NSSF kukopwa na Mbowe kuna ajabu gani?
Kuna jamaa Bungeni juzi kasema kuna wezi wasio na hatia humu nchini!!
 
Michelle hata wana intelijensia wamejaribu kum-kona jamaa angalau kwa kashfa yoyote ya kibiashara lakini wapi.

Kwa taarifa yako huwezi kuwa chama pinzani Tanzania tena mwiba kwa serikali na chama tawala ukawa salama kwenye biashara zako, utaandamwa kwenye kodi na mambo mengine mengi tu tena hata kubebeshwa madawa ili mradi tu wakuchafue, ila kwa bwana Mbowe hata kumpandikizia madawa imeshindikana
 
Aliachiwa urithi zaidi alikuwa na akili ya kujiongeza pasi kubweteka ndo reason mali imedumu. Si pekeake tupo wengi ila hakuna wizi tena siasa zinamrudisha nyuma zaidi.
 
Kila mtu Ana historia hata mzee Mbowe marehemu Naye pia Ana historia Naona muhimu kuangalia uhalali Wa Mali zilizopatikana
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
Mali zake zinakuhusu nini?Maisha yako yamekushinda, unachunguza ya mwenzio,ndo maana watu wengine hamuendelei.
 
Unadhani Nyerere aliishia kutumia tu magari ya Mheshimiwa Mbowe? Wataalam wa mambo wanajua kuwa alienda mbali ya hapo..SANUKA.

kijana unaenda huko siko - kumbuka hii ni dunia ya utandawazi.
 
huyu si ndiye anamiliki danguro bills linatia kichefuchefu
 
huyu si ndiye anamiliki danguro bills linatia kichefuchefu

maskini utawajua tu, ichukieni serikali yenu ya magamba inayotajirisha wageni na kuwaacha nyie maskini mkihangaika.

umaskini wenu ni wa kizazi hadi kizazi. - Njiwa mtamani vya wenzio wewe - ha ha ha. utaolewa uwe mke wa pili chunga.
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo

Unamaanisha naye ameshahusika kwenye ufisadi wa serikali yetu? Kwani huyu mwenyekiti Mbowe alikuwa na naibu waziri wa wizara gani vile...? Nifafanulie hapo sielewi vizuri ndugu mleta uzi!
 
huyu si ndiye anamiliki danguro bills linatia kichefuchefu

Lina leseni ya biashara na kibali kuwepo pale katikati ya jiji? Kam ndiyo basi achana na kuleta chokochoko. Kama hujaridhika na uwepo wake nenda kashitaki TRA au wizara ya sheria na mambo ya katiba. Na kama unaona kichefuchefu, nani kakutuma uende kwenye danguro hilo kama wewe si mpenda vichefuchefu?
 
Asili ni asili tuu kama umezaliwa kwenye ukoo wa kimasikini kimpango wako na utafa ivo ivo! Mwenzako kazikuta katuliza kichwa ndo mana bado zipo til now
 
Back
Top Bottom