Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Hapa ndiyo tutajua kama mzee wa majipu yupo serious au anafanya usanii, kama atamuacha huyu jamaa nitajua ni usanii
Mkuu ebu wacha kutania ina maana huijui ccm kuwa ni ileile?
 
Cc:lizaboni
Cc:MOTOCHINI
Cc:mcubic
Cc: Phillipo Bukililo
 
Uwongo mwingine bana bil 100 alafu ue mmiliki wa newcastle
 
Mimi nasema hivi tuendelee kuwaombea walio matajili kwani walibebwa na mfumo na sisi tulio masikin tumuombe mungu atupe mfumo wetu utubebe.hata tulipig kelele haitusaidii kitu.cha msingi wawakumbuke masikini na ombaomva wote tanzania.hakuna mtu alipenda kuzaliwa masikin.waachen wale bata na sis tule vumbi.pesa siyo msingi wa maendeleo bana.
 
Kama una pumua.shukuru sana mungu.hakuna utajili mkubwa kama afya.pesa ni matokeo
 
Hile pale opossite na mlimani city sio jengo la NSSF wao wamekodi tu me namjua mmiliki wa lile jengo na ndugu yake ni kigogo NSSF ndio alimsaidia ktk kupata wapangaji
 
Mshahara na marupurupu yake yanalingana na utajiri huo
 
mukulu asalam aleikum!; wewe ni muumin au kafir? unapo shahadia kwamba mfumo Kristo umefuzu, jee allah wako amelala au yuko likizoa?¿ kasome kunnuti, muhalila, al badri...si ndio allah amekufaridhia hizo silaha? umesoma hivyo visomo? kwa mini unatupigia kelele za fitna humu?! kwa taarifa wanaotesa/kuteseka humu ni Wakristo, waislam, na wapagani...njoo huku uswazi nikuonyeshe Mkristo anaeteseka kwa kushindwa cha kuvaa, pakulala, na kushindwa kupata raqaa moja ya Siku chozi litakuto hata ukiwa na roho ya ibilisi, na utakoma mbweraa zako! njoo uone huku shule za kata watoto wa kisilamu, kikristo, kipagani wanao kalia mawe darasani na kulishwa unga na nyinyi ili wawe mateja!; hao mmoja wao anapo nunua kachori ima kalanga wanavyo shirikiana mateso yao kuawana kwa upendo bila kujali huyu deen gani! leo yule muislam anaeishi oster bay serena hotel na kutesa unadai eti Mkristo anakudhulumu! hahahahaaa...wee unatumia kiungo gani kutafakari dogo? kweli ashki majunini..kwa fitna yako hiyo na ghilba unayoifanya kwa kujua IMA kutojua..laanatulah...
 
Hayo mawazo yako ni sawa na usemi wa wahenga wa ALIYE JUU MGOJE CHINI,unajua atashuka lini?
 



Mmiliki wa Newcastle United ni mtu mmoja tu 'Mike Ashley' mwenye hisa 100%

Huo sasa ndio uandishi kanjanja inabidi watu wachukuliwe hatua za kisheria sujui yapi mengine ya kutunga katika habari nzima kampuni ya kichina iliyojenga daraja la Kigamboni pia ni ya Dr.Dau kama tender zote alijipa mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…