Utajiri wa Dr. Dau unashtua

Ivi kweli watanzania tuna uwezo wa kufikili au tuna matatizo ya akili maana tunajadili gazeti bila hata kuchunguza habari ni sahihi au imetengenezwa kumiliki timu ulaya mnafikili ni kuuza nyanya sokoni kwa mtindo huu CCM watatuongoza mpaka kiama kwanza watu wameshagawanyika kiimani ukiwa dini flani utamchukua wa dini fulani na ndicho nakiona hicho kinacho mponza da so ufisadi hakuna taalifa ya mkaguzi wa wa mahebu aliye toa taalifa ya dau kama kuna mtu ana kumbukumbu hiyo atukumbushe
 
Hivi dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?
Ubalozi kwa mtu kama Dau sio dili, kwamba eti hawezi hata kusafiri kidogo nje ya kituo kula bata mpaka aombe ruhusa kwa bureaucrats wa Wizara ya Mambo ya Nje, please! Nimeambiwa Dau amekataa kwenda nje. Imagine Dr. Kamala amekimbia ubalozi Sweden kuja kuingia kwenye siasa za Kagera, ameona hata asipopewa uwaziri atakuwa yuko njema. Enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna mitikasi kwa viongozi wa umma kwa hiyo ulikuwa ukipewa ubalozi nje unasema Alhamdulillah 'ala kulli hal, haza min fadhli Rabbi!

Siku hizi nani anataka habari ya kwenda kuoza kwenye ma ubalozi uache michongo inakupita nyumbani?
 
Jamani, huwa siku zote tunasema. Siyo lazima uchangie hoja kama huna la maana la kusema. Nobody aliye mkataza Dr Dau kwenda mashambani kwa jembe lake au popote pale kwa nguvu zake na akajaliwa kuwa tajiri. Kama na wewe unaiba usifanye ndo huruka ya kila mtu.
 
wewe hicho ulichosema ndio cha maana?
 
I seeeee huyu fisadi bado yuko mtaani anatanua? fisadi kama huyu inabidi apelekwe keko
 
Hili gazeti kwa quality ya karatasi zake nna uhakika Dr dau akipata mtu mlalamishi wa kumshauri kwenye hizi media atamshauri ampeleke mahakamani na fidia ya sh 500m vipesa vidogo au sh 100 kudhibitisha madai ya hizi habari najua hawawezi zibitisha
 
Ukitaka mtu achukiwe waambie mahasidi "yule katajirika kupita kiasi".

Mahasidi na masikini mapunguani lazima wamchukie.

Amma kwa hakika mali ni fitna.

Siku hizi nnaona Dau kampita Ridhwan kwa utajiri.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Hivi dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?
Yupo nchi x ambayo bado inatafutwa hahahaha wakubwa wanaakili sana mkuu wamemtoa kijanja pale habari yake ndiyo basi tena.
 
Hili gazeti kwa quality ya karatasi zake nna uhakika dr dau akipata mtu mlalamishi wa kumshauri kwenye hizi media atamshauri ampeleke mahakamani na fidia ya sh 500m vipesa vidogo au sh 100 kudhibitisha madai ya hizi habari najua hawawezi zibitisha
Bush lawyer, huwa hatubahatishi, muulize Ombeni Sefue atakwmbia sisi ni nani.
 
Kuna wakati mwingine kuna magazeti yapo kwasababu ya kuchafua wengine. Hivi Una bilioni mia moja unaweza kuwa mmiliki wa Timu Inayoshiriki EPL? Hiyo pesa utaweza kununua wachezaji kama Yohane cabaye au CHEIKH TIOTE ambao wote thamani Zao ni Zaidi Pesa hizo? kwa
 
kumbe ni mpenzi wa mpira safi sana, ila angewekeza hapa nchini kwa team zetu
 
Mie ninamiliki CRDB bank,nina hisa 10,kumiliki hisa newcastle si utajiri,Dau mnampaisha bure tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…