Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama Vodacom na nyingine kibao,
Mpaka june 2016 Diamond alikua na utajiri upatao USD 4 Million sawa na bilioni 8 za kitanzania lakini mpaka kufikia august mwaka 2017 utajiri wake umeongezeka mara mbili.
Diamond kwasasa ndiye msanii tajiri zaidi afrika mashariki akishika nafasi ya Jose Chameleon ambae kwasasa inasemekana ni choka mbaya:
Bado nafatilia kujua Alikiba atakua na utajiri wa kiasi gani mpaka sasa.