Utajiri wa DiamondPlatnumz Wafikia Bilioni 18

Unataka kujua wanamuziki tajiri east africa?? Bas mchunguze vzur huyu
f30e3fa69b5cbd07829c296d3b63a04b.jpg
akothee
 
Unaanzaje kufuatilia habari nyingine wakati hii yenyewe umeishia kwenye Inasemekana? Thibitisha kwanza hii ndiyo urukie kwingine.
Wewe vipi wewe ebwoo!! Unadhani hayo mafanikio huwa yanakuja kuja tu!!
Vipimo vyetu ni macho mkuu...mtu anasema anasema ana hela ukienda TRA hasomeki (maana mali unayomilki inatakiwa iendane na kodi unayolipa hata kama umeajiriwa ama umejiajiri kasoro wale wenye vipato ambavyo sheria ya TRA haiwahusu, sasa sijui hawa jamaa taarifa huwa wanatoa wapi sijui)

Ila mwamba c amemsaidia kwa kusema chanzo cha taarifa ni WATU WASIOJULIKANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom