Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
- Thread starter
- #41
zilipendwa huyoUsimfananishe Legend Chameleone natt vitu vya kijinga

Msanii sio Mwanamziki
acha wafanye tu yao maana jamaa linahela mpaka keroHalafu TRA wakifanya yao mnaanza kulialia
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama Vodacom na nyingine kibao,
Mpaka june 2016 Diamond alikua na utajiri upatao USD 4 Million sawa na bilioni 8 za kitanzania lakini mpaka kufikia august mwaka 2017 utajiri wake umeongezeka mara mbili.
Diamond kwasasa ndiye msanii tajiri zaidi afrika mashariki akishika nafasi ya Jose Chameleon ambae kwasasa inasemekana ni choka mbaya:
Bado nafatilia kujua Alikiba atakua na utajiri wa kiasi gani mpaka sasa.
hakikamisa side chik si habari nzuri sana kwake
Zama zao zina tofauti kubwa, zamani msanii hakuwa nembo ya biasharaUtu wa mtu ni kazi, pesa ni matokeo.
Kuna watu wanakuwa matajiri kwa sababu wamecheza bahati NASIBU wakashinda.Hawajui kazi yoyote.
Utawasifia kwamba wanajua kazi kuliko watu waliojikita kufanya kazi kila siku?
Kuna wengine usanii wao wakishiba wanakosa feeling, mpaka wawe na njaa ndiyo wanapata feeling ya kuimba vizuri.
Sasa msanii kama huyo ukimlaumu kwa sababu ana njaa kali, unakuwa hujaelewa sanaa yake.
Mzee Morris Nyunyusa kafa na njaa kali kwa standard za utajiri wa Diamond Platnumz mnaousema.
Lakini je, unaweza kusema Diamond Platnumz ni msanii mahiri kuliko Mzee Morris Nyunyusa?
mkuu mbona kila kitu unasema ahsante/au unasapoti ? hata kama ni tango bori umelishwa ? au kwa vile ni verified unaogopa block ? au unawahi kukoment ili uwe wa kwanza unashindwa kuandika comment ya maana iliyoshiba ? nimeona comment zako nyingi, nothing new but unaonekane tu nawe hujapita bila kutia neno,,,,Asante kwa gahawa hii mkuu
Alikuwa mpiga ngoma sio mwimbaji (Moris)Utu wa mtu ni kazi, pesa ni matokeo.
Kuna watu wanakuwa matajiri kwa sababu wamecheza bahati NASIBU wakashinda.Hawajui kazi yoyote.
Utawasifia kwamba wanajua kazi kuliko watu waliojikita kufanya kazi kila siku?
Kuna wengine usanii wao wakishiba wanakosa feeling, mpaka wawe na njaa ndiyo wanapata feeling ya kuimba vizuri.
Sasa msanii kama huyo ukimlaumu kwa sababu ana njaa kali, unakuwa hujaelewa sanaa yake.
Mzee Morris Nyunyusa kafa na njaa kali kwa standard za utajiri wa Diamond Platnumz mnaousema.
Lakini je, unaweza kusema Diamond Platnumz ni msanii mahiri kuliko Mzee Morris Nyunyusa?
Hata sasa,kwa anayeelewa sanaa, msanii si nembo ya biashara.Zama zao zina tofauti kubwa, zamani msanii hakuwa nembo ya biashara
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama Vodacom na nyingine kibao,
Mpaka june 2016 Diamond alikua na utajiri upatao USD 4 Million sawa na bilioni 8 za kitanzania lakini mpaka kufikia august mwaka 2017 utajiri wake umeongezeka mara mbili.
Diamond kwasasa ndiye msanii tajiri zaidi afrika mashariki akishika nafasi ya Jose Chameleon ambae kwasasa inasemekana ni choka mbaya:
Bado nafatilia kujua Alikiba atakua na utajiri wa kiasi gani mpaka sasa.
Wasanii wote wakubwa kinachowalipa ni lucrative business contracts, fuatilia kampuni kubwa duniani na matangazo yaoHata sasa,kwaanayeelewa sanaa, msanii si nembo ya biashara.
Sikuandika alikuwa muimbaji, nimeandika msanii.Alikuwa mpiga ngoma sio mwimbaji (Moris)
Bado uko palepale, kuwa msanii mkubwa si kuwa msanii bora.Wasanii wote wakubwa kinachowalipa ni lucrative business contracts, fuatilia kampuni kubwa duniani na matangazo yao