nadry
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 606
- 596
Mali anayomiliki au kipato anachoingiza?Vipimo vyetu ni macho mkuu...mtu anasema anasema ana hela ukienda TRA hasomeki (maana mali unayomilki inatakiwa iendane na kodi unayolipa hata kama umeajiriwa ama umejiajiri kasoro wale wenye vipato ambavyo sheria ya TRA haiwahusu, sasa sijui hawa jamaa taarifa huwa wanatoa wapi sijui)
Ila mwamba c amemsaidia kwa kusema chanzo cha taarifa ni WATU WASIOJULIKANA
Samahani lakini.