Utajiri wa DiamondPlatnumz Wafikia Bilioni 18

wazee wa kujitekenyaaaaaaaaaaaaaaaaaa diamond mwenyewe akiona hii thred ATASTUKA hahahahahaaaa bil 16 kulipa mil 300 tu ya wazee wa msondo shughuli puuuuumbav tuambie baada ya kuchanganya hela zake na za zari kidogo sasa ana bil 16 siyo hizo porojo.
 
nani kakwambia alishindwa kulipa hyo 300 milioni?
 
Sio kweli,kwny interview yake na E! Mwk jana alisema ana 2m usd , ww hzo 4mil usd nani kakwambia ?
 
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama Vodacom na nyingine kibao,

Mpaka june 2016 Diamond alikua na utajiri upatao USD 4 Million sawa na bilioni 8 za kitanzania lakini mpaka kufikia august mwaka 2017 utajiri wake umeongezeka mara mbili.

Diamond kwasasa ndiye msanii tajiri zaidi afrika mashariki akishika nafasi ya Jose Chameleon ambae kwasasa inasemekana ni choka mbaya:

Bado nafatilia kujua Alikiba atakua na utajiri wa kiasi gani mpaka sasa.

Basi atakuwa na plan B,
Huo muziki tuu haufanani na hizo hela nyingi hivyo.
 
Mkuu diamond hategemei mziki tu, Kwa mujibu wa yeye mwenyewe Diamond karanga tu zimemuingizia pesa nyingi sana tangu aanzishe hyo biashara
 
Diamond kama atakua na pesa basi hawezi kuzidi billion mbili pesa halali ya ki Tanzania
 
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama Vodacom na nyingine kibao,

Mpaka june 2016 Diamond alikua na utajiri upatao USD 4 Million sawa na bilioni 8 za kitanzania lakini mpaka kufikia august mwaka 2017 utajiri wake umeongezeka mara mbili.

Diamond kwasasa ndiye msanii tajiri zaidi afrika mashariki akishika nafasi ya Jose Chameleon ambae kwasasa inasemekana ni choka mbaya:

Bado nafatilia kujua Alikiba atakua na utajiri wa kiasi gani mpaka sasa.

Weka financial statements zake acha porojo.
Halafu kwa taarifa yenu Ali Kiba ana bonge la jibwa, Diamond hana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom