Tuache usaliti.Just use your common sense and ask yourself the following question:-
Mbona Nyerere alikaa ikulu kwa miaka zaidi ya 20 lakini hakuwa na utajiri wa kiasi hicho?
Hizo si mbao wala mabanzi, ni matofali ya kuinterlock. pia kawe kuna baridi
Kuwa tajiri hata kama ni kupindukia sio vibaya kama ni kutokana na nguvu zako. Na hili linawezekana sana hapa bongo kwa watu waliokuwa na opportunities kama kina D.Yona, F.Masha, F.Mosha, etc (Soma cv zao) actually wakiwa fukara tunatakiwa kuwacheka!
Ila Haya ndo mambo tunasema kila siku, ukiwa kiongozi wa umma unatakiwa kuwa clean "in fact, and in appearance"! Na hapa nadhani ndipo Yona anapo chemsha, kutokana na tuliyo yasikia Kiwira tu, tunashindwa tenganisha kati ya mali za wizi na za halali.
Kwa kuwa hili jukwaa ya thinkers! Tu - reason kidogo hii kesi.
kwa madaraka, na opportunities alizo wahi shika huyu bwana Yona, miaka nenda garuka, kuwa na utajiti huu wa makongo, sijui nyumba ya tegeta - tena ya mwanae mimi sioni ajabu!
Isitoshe kila nyumba iliyopo pale ilijengwa kabla jamaa hajawa mbunge, na nyumba anayo ishi ni ile ile (hata alipokuwa waziri) amabyo aliijenga toka akiwa THB - bila shaka ni kwa mkopo! Tena iko barabarani - vumbi loote lina ingia ndani!
Nasikia Yona alinunua eneo lake pale kama eka 8 kwa sh 120 - mwaka 1968 so sio hatari kuwa na mali hizo leo miaka zaidi ya 40.
Ni sawa na wanaokamata ma-ardi leo kibaha eka 1 - sh laki 3. Baada ya miaka 20 itakuwa kaa makongo.
rudi piga picha!
Hizo ni shingles na si matofali ya interlock.
Amandla...
kwahiyo kwasbabu nyerere alikaa ikulu miaka 20 akafa maskini basi nchi nzima iwe maskini sio?? wewe ndio mnafiki
BTW, uwe unaelewa nilichosema .... nimesema "cha maana aliupata kihalali" and that is where my argument stands
kama si halali basi ni sababu ya serikali zaiff kujua yupe anaihujumu nchi, hatujachelewa hatua stahiki zichukuliwe, kama aliupata kihalali basi ni mfano wa kuigwa
huwezi kulinganisha visivyolinganishwa, we have different purposes in life
napenda sana wanaotajirika, ila iwe kwa njia halali, sipendi sana umasikini wa kujitakia, tanzania ni tajiri
BABA YAKO AKIISHI MIAKA 70 MASKINI BASI NA WEWE LAZMA UWE KAMA YEYE??
Haihitaji kuwa na degree kujua nani ni mnafiki kati ya mimi na wewe.
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.
Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.
Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!
Nawasilisha
na si lazima kuwa na degree kujadili basics
kaza **** dogo upanue wigo wa uelewa
utabakia hapohapo ndama we
Binafsi 2015 nitakuwa tayari kumpa kura yeyote atakayeahidi kwa dhati kuwashughulikia kina Yona, Mramba, Chenge, Karamagi, Lowassa na vibaka wengine wanaojificha kwenye kivuli cha genge la wezi CCM ili mradi asitokee CCM kwa maana wote wezi tu.Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.
Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.
Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!
Nawasilisha
mkuu usituchekeshe. hii ni nyumba ya mabanzi haziswihi dar labda a town au mbeya na iringa.
Ama kweli ukishangaa ya Mussa utaona ya Firauni.
Binafsi 2015 nitakuwa tayari kumpa kura yeyote atakayeahidi kwa dhati kuwashughulikia kina Yona, Mramba, Chenge, Karamagi, Lowassa na vibaka wengine wanaojificha kwenye kivuli cha genge la wezi CCM ili mradi asitokee CCM kwa maana wote wezi tu.
ok, ukishamaliza kushangaa kakojoe ulale naona umeshaishiwa hoja sasa unashangaa tu
i dont mind any rich person as long as he/she got it kwa njia halali
and next time jifunze kukomaa kwa hoja sio kushangaa ya musa na firauni, walishakufa zamani sana, shangaa ya leo yaliyokuzunguka
myambaffffffffff
hayo si ya leo mwaka 2000 nilikuwa nimeenda makongo kwa ndugu yangu kukopa ada ya shule ni jirani na kwa mr yona, ndugu yangu alinijibu wakati sie 40000 zinatutoa kamasi mwangalie kiongozi wako anadondosha majumba kiajabu wakati huo alikuwa akijenga mahekalu mawili kwa mpigo hakika nilia na umaskini wangu!Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.
Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu. Nikaambiwa mengine ni ya mkewe. Pia kuna shule ambazo ni mali yao. Utajiri huu jamani si wa kawaida.
Hivi kweli makabwela wa nchi hii watakubali wizi huu hadi lini? Anayetaka na afike eneo hilo ajionee haya ninayosema. Inakera sana, hasa wakati huu ambao watoto wetu hawana madawati, maabara wala mlo wa uhakika. Lazima tuchukue hatua za kurejesha mali hizi!
Nawasilisha
Unaongea kama vile huna ubongo.Ama!? Hivi kwa nini watz makapuku wanaoshinda vijiweni na kucheza pool na kujadili manchester na imaginations zingine hawapendi kupongeza achievement za wengine? Hivi kwa mtanzania kuwa TAJIRI ni criminal case? Maana kila mtanzania akipata endeavour analaumiwa badala ya kupongezwa. Je, ulitaka Yona awe kapuku au tajiri au afiche utajiri nje ya nji?