Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,101
Mwenye nafasi atafute filamu moja ya kinaigeria inaitwa Billionaires club, nadhani hakuna atakaebishana na mtoa mada, haya mambo yapo ila pesa yake inakuwa na mwisho mbaya na ni lazima igharimu damu za watu wasio na hatia.
Kuna sehemu nyingine huko kwa wandengereko kunaitwa ngende,ukitaka kuwa tajili lakini uwe unavaa kaniki na kandambili unakaribishwa sana na hata Ulaya utakiwi kwenda wala hotel ya kitalii hurusiwi kuingia na wala mwanamke mrembo hurusiwi kufanya nae mapenzi, na kafara ni lazima umtoe mama yako mzazi na mtoto wako kipenzi.