Utajiri unaotolewa na Mwakipande | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri unaotolewa na Mwakipande

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kinyungu, Dec 14, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.

  Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni

  Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
  Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
  Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
  Widambe-Mabasi Njombe-Dar
  Igesa line n.k

  Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna umuhimu kabla ya post kupostiwa humu ziwe zinapitiwa na ma mods mana zingne ni pumc sana
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Aisee we wa wapi bana?
  umeenza majibu then unakuja na swali!
  kwa kifupi swali lako majibu yake ni hayo uliyotujuza wanajamvi unless uwe umetunga then unataka proof!!
   
 4. C

  Claxane Senior Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitumie namba ya simu ya mwakipande
   
 5. Yusuphamos

  Yusuphamos Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  asilimia themanini ya matajiri mikoa ya nyanda za kusini wanatumia uchawi.
   
 6. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo hao uliowataja una uhakika ni wateja wa mwakipande? Uchawi na hela Za kichawi zipo ila you are not supposed to point finger without hard evidence.
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  jamaa hasomeki, mambo yote anayajua yeye na bado anatuuliza sisi.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Huyo mwakipande nae ni tajiri? Au ndio mambo ya mganga hajigangi!
   
 9. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Sheikh mambo yamekuwa magumu nini,kama vipi waulize hao kwenye nyekundu na wenzake super feo,mama mbilinyi,.........utajiri wao umetoka wapi?

  Together in Poverty Apart in Riches
   
 10. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  hivi wewe mleta topic una akili? Fanya kazi hakuna utajiri wa kupewa kila kitu kinahitaji hardworking; ka unataka utajiri wa kupewa nenda Lamu uwakute maarabu watakupa utajiri
   
 11. M

  Malabata JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umekurupuka uwe na uhakika na kitu unachopost humu jamvini,Huyo mganga yupo mkoa wa Iringa na wilaya ya Makete kijiji cha Igolwa,Lakini kwamba anagawa utajiri sina uhakika kwa matajiri wengi naona ni hardworkers,
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...ndio yeye nini anatangaza biashara yake!!.
  Hatuji bwana 'kupewa' utajiri.
   
 13. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimeishi Njombe na watu wengi huenda kwa huyo Mwakipande kwa wingi sana!
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wizi mtupu mnaamini ndumba zinafanya kazi?
   
 15. k

  kaeso JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Fanyeni kazi hakuna utajiri wa kupewa. Matajiri wote wamefanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii
   
 16. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada yuko usingizini, alilala na njaa, sasa anaota ndoto ya utajiri na waliowahi kuwa matajiri;
  AMKA WEWE KUMEKUCHAAAAAAAAA ACHA KUOTA!
   
 17. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kama anatoa utajiri kwa kukaa tu bila kujituma basi na mimi nataka aisee
   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sio vyema kuchafua watu kwa staili hii.
  OTIS
   
 19. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Namna hii wachuna ngozi hawataisha, na wale ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi wataendelea kupunguzwa viungo vya miili yao kila siku.
   
 20. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndoto ya kitandani achana nayo unataman.......Wakati hata kazi hufanyi tumia akiri ........

  Mkuu ulilala na njaa nin halafu ukaota umepata utajiri ulivyo amka duuu njaa kari huna hata bati.

  Nikweli kbs waganga wa k├Čenyeji wanagawa utajiri ukifuata masharti yake na ukikiuka 2 unafirisika.

  Kikubwa mganga anacheza na akili yako tu atakambwia fanya kazi atakupangia matumizi na mashart mengine kibao ndiyo mana utasikia wakinga ni wabahili sana yale ni mashart na janja za waganga wao walio waibia kisanii.

  Mleta mada umekurupuka mwakipande hapatikani njombe huyo alikuwa anapatikana makete ,
  bali anaye ishi njombe makambako ni mwandulami.

  Mleta mada ulio wataja kwenye thread yako wakikutaka ulete ushahidi utaleta??
   
Loading...