Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

kuna tofauti ya riziki na utajiri.ebu kuweni waelewa kidogo Ndugu zangu. riziki ya halali ipo ila utajiri Wa halali hakuna.nasema hivyo Kwa msisitizo mkubwa kabisa .naomba Kwa yeyote aliyejaribu kuutafuta utajiri aseme kama hajawahi kufanya jambo lolote ambalo ni chukizo Kwa Mwenyezi Mungu. hata kama huo utajiri ukuupata lkn utakuta ulijaribu kukwepa kodi.kama ni kazini wengine wanatengeneza ata mazingira ya rushwa ili wapande cheo. au biashara unajua fika mwenzanko pia anaitaka Ili wanae waende Choo lkn kwakua unatamani kupata pesa nyingi unaichukua yote na kumwacha mwenzako hajapata chochote.
Asante kwa kunisaidia. Ila nitoe wazo tofauti kidogo, mimi naamini wapo walio na mafanikio kwa kutumia jasho lao na kumtegemea Mungu na nadhani hapa shida kubwa ni tafsiri ya neno 'UTAJIRI' . sitaki kutaja definition yangu ya utajiri inaanzia wapi ila kuna watu wana mafanikio tu ya kawaida ya kuwafanya waishi maisha mazuri wao na wale wanaowazunguka hawana ule utajiri wa kupindukia
 
Mkuu hapo unaposema kwny hii verse Ngamia (sio mnyama) unamaanisha nini mkuu?

Luke 18:25
Indeed, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for someone who is rich to enter the kingdom of God.”

Mbona kwny english bible imetumia neno (CAMEL),hapo walimaanisha nini?
Nijuavyo mimi ni lile kamba nene linalofungwa kwenye nanga chimbo kinapopaki ufukweni mwa bahari
 
naamini utajiri wa kihalali upo ila dah!
si kirahisi rahisi maana binadamu siku zote twapenda mteremko na urahisi ktk kila kitu
 
Ila kwenye thread yako umenikumbushia mzee mengi.. Maana nasikia yeye ni muumini wa freemason, sasa kwenye ile misaada anayotoa + party za vilema huenda anachukua nyota za watu na anatoa kafara in the process Mshana Jr
pia nilipata kusikia aliipigaga NBC kama skosei miaka hiyooo...
 
Yote juu ya yote tunauhitaji utajiri kwa nguvu zetu zote ili kukidhi mahitaji ya natamanio ya kimwili na starehe za dunia, sifa na utukufu wa kununua.... Lakini asikudanganye mtu hakuna utajiri wa haki hata siku moja
kiukweli utajiri unasiri kubwa saana !!kuna baba anko wangu flani tajiri kabsa na mshika ibada mzuri saana!nimeshanga kipindi nakuta wafanya kazi wake waki badili expiring date za bidhaa flani [emoji44][emoji44]wakiweka ambazo hazija expire kisha kuwa uzia watu[emoji32][emoji32]kiukweli i was shocked !!ndo mana namuombaga saana Muumba anipe pesa ya kula niwe na kwangu ,kipandwa cangu kizuri,na uwezo wa kuidumia familia yangu vizuri utajiri wa kuwekwa kwenye forbes awape akina Mshana Jn[emoji23][emoji23]
 
Asante kwa kunisaidia. Ila nitoe wazo tofauti kidogo, mimi naamini wapo walio na mafanikio kwa kutumia jasho lao na kumtegemea Mungu na nadhani hapa shida kubwa ni tafsiri ya neno 'UTAJIRI' . sitaki kutaja definition yangu ya utajiri inaanzia wapi ila kuna watu wana mafanikio tu ya kawaida ya kuwafanya waishi maisha mazuri wao na wale wanaowazunguka hawana ule utajiri wa kupindukia
naamini utajiri wa kihalali upo ila dah!
si kirahisi rahisi maana binadamu siku zote twapenda mteremko na urahisi ktk kila kitu
Utajiri mnaozungumzia nyie ni ule tunaoweza kuuita petty wealth. Wengi wetu kwa level za mahali tulipo tukiwa na million mia mbili tu tunaitwa matajri
 
kiukweli utajiri unasiri kubwa saana !!kuna baba anko wangu flani tajiri kabsa na mshika ibada mzuri saana!nimeshanga kipindi nakuta wafanya kazi wake waki badili expiring date za bidhaa flani [emoji44][emoji44]wakiweka ambazo hazija expire kisha kuwa uzia watu[emoji32][emoji32]kiukweli i was shocked !!ndo mana namuombaga saana Muumba anipe pesa ya kula niwe na kwangu ,kipandwa cangu kizuri,na uwezo wa kuidumia familia yangu vizuri utajiri wa kuwekwa kwenye forbes awape akina Mshana Jn[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sitaki nipate kingi zaidi ya USD million 5... Sitaki nikufuru... Wala nisipate kidogo kabisa nikaiba na kuroga
 
kiukweli utajiri unasiri kubwa saana !!kuna baba anko wangu flani tajiri kabsa na mshika ibada mzuri saana!nimeshanga kipindi nakuta wafanya kazi wake waki badili expiring date za bidhaa flani [emoji44][emoji44]wakiweka ambazo hazija expire kisha kuwa uzia watu[emoji32][emoji32]kiukweli i was shocked !!ndo mana namuombaga saana Muumba anipe pesa ya kula niwe na kwangu ,kipandwa cangu kizuri,na uwezo wa kuidumia familia yangu vizuri utajiri wa kuwekwa kwenye forbes awape akina Mshana Jn[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23
 
Kwa tusiojua tafsiri ya utajiri ni kupata faida na ziada ya faida ambayo sasa itakufanya uitumie kufanya uwekezaji mwingine kwa nia ya kuongeza ile faida na ziada maradufu
 
Bado sijaelewa

Naomba kuuliza_tajiri ni mtu wa namna gani..? au nini maana ya utajiri..?
 
Back
Top Bottom