Yeah tatizo binadamu wa leo tunataka kumaintain status, ulikuwa unatembelea migari, unakula vizuri kwamba ifike siku uende kupanga chumba kimoja uswahilini unaona soo bora umpumzishe Mungu kwa muda ugeukie upande mwingine ilimradi ubaki juu..kwamba kwenye maisha kuna kupanda na kushuka hii dhana hatujaikubali bado
Tulikuwa tunazungumzia ishu ya Ayubu right?Ku-maintain status ni muhimu, ukiwa tajiri (watu wajue) hlf baadae ufilisike, ni aibu kubwa sana, kama ushawahi kuwa na pesa nyingi then ukafulia u can relate, kwamfano kwa bahati mbaya itokee reginald mengi amefilisika na kuishiwa pesa kabisa, mzee wa watu si ataona aibu sana, huenda hata akafa kwa stress..na si ajabu ww ndo ukawa miongoni mwa watu wa kwanza kumcheka, kumtenga na kumsema vibaya Khantwe
Najua we sio tajir..umeshawah kujiuliza kwa nin we sio tajir japo unapambana sana kuwa tajir ila mwisho wa siku unaishia kupata basic needs na kuwa mtu wa kati kwenye uchumi??Hoja yako unataka aminisha jamii kuwa umaskin ni sehemu ya utakatifu,,na mtu kuwa na Mali ni dhambi kwa mtazamo wako duni kwamba Mali au utajiri lazma udhulumu,uibe,unyonye watu nk..
Sio kweli sabb kuna utajiri unaopatikana kwa haki na unaopatikana nje ya haki..pande zote mbili kuna mchakato wake!!
Usitake kuturudisha kwenye wokovu wa kimaskini kama wa enzi zileeeee...afu mnageuka na kutucheka eti mbona wanasema Mungu wao tajiri wakat wao maskini..
Fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana..mithali...
Tuaminishe kwa ushahidi kuhusu mengiIla kwenye thread yako umenikumbushia mzee mengi.. Maana nasikia yeye ni muumini wa freemason, sasa kwenye ile misaada anayotoa + party za vilema huenda anachukua nyota za watu na anatoa kafara in the process Mshana Jr
RIBA NI DHAMBIIIII KUUBWAAAA.huo ni utajiri wa riba sio wa haki kabisa.au kuna benk inakopesha bila riba?Kila mtu na mtazamo wake kias flani inaweza ikawa sahihi lakini sio kote mfano nimeenda bnk nimekopa m200 nimeenda kuwekeza shambani kwa kulima mpunga na Hakuna niliyemnyima haki yako lama makubaliano yetu tuliyoingia katika kazi nikavuna magunia yakutosha nikapata B1 utasemaje utajili wangu Co wa haki?
Najua we sio tajir..umeshawah kujiuliza kwa nin we sio tajir japo unapambana sana kuwa tajir ila mwisho wa siku unaishia kupata basic needs na kuwa mtu wa kati kwenye uchumi??
Kukwepa kodi ni dhambi haijalishi kodi inaumiza kias gan...bro ukiamua kufata misingi ya Mungu ili uwe tajir inahtaji imani kubwa sana yenye uvumilivu, isiyojua kuyumba, na isiyokata tamaa...kwa sasa watu wa namna hiyo ni kama hawapo....kwanza hatujui imani sahihi ni ip na hvyo tunajikuta tunafanya makosa kibao ambayo ni kama almost tupo upande wa shetani...utitiri wa makanisa ambayo kila kukicha tunashutumiana na kutukanana hyo tayar ni error kuwa Mungu hayupo kati yetu tunapuyanga tuu...Matamanio yetu hayaendani na matamanio ya Mungu mpak hapo ni holaa...Kuna matajiri hawamjui mganga wala ushirikina..pili kodi ni unyonyaji uliokubuhu mtu unalipa katwa kodi karibia kila mahali kwa bidhaa moja tu hivyo kukwepa kodi sioni kama ni dhambi.Kodi zinalipwa ila sio kwa asilimia mia sababu inaumiza
Watu wana hustle kitaa bila ya ushirikina wala kumuibia mtu ..utajiri wa halali upo na wapo kibao tu sema lazima uwe tough
Kuna haja gani kwa wewe kuhangaika kama unaitaji maisha ya msataafu bora uhamie kijijini unaishi maisha hayoNdo mana mimi nafaiti faiti niwe na vitu vikuu vitatu tuuuuuuuuuuuuuuuu.
Mke mzuri(na watoto)
Nyumba ya kukaa
Usafiri
Kibiashara cha kuingiza pesa ya kula na kubakia katika levo ambayo sitokaa kuhangaika kula ya siku au wiki au mwezi.
Full stop,hayo mengine sijui uwe na gari kumi,mara hivi na vile mimi siwezi aiseeee
Unaweza kutaja Mlokole Tajiri hata mmoja kwa hapa Tanzania?Hoja yako unataka aminisha jamii kuwa umaskin ni sehemu ya utakatifu,,na mtu kuwa na Mali ni dhambi kwa mtazamo wako duni kwamba Mali au utajiri lazma udhulumu,uibe,unyonye watu nk..
Sio kweli sabb kuna utajiri unaopatikana kwa haki na unaopatikana nje ya haki..pande zote mbili kuna mchakato wake!!
Usitake kuturudisha kwenye wokovu wa kimaskini kama wa enzi zileeeee...afu mnageuka na kutucheka eti mbona wanasema Mungu wao tajiri wakat wao maskini..
Fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana..mithali...
Umenena vyema japo hakuna ambapo Mungu kahalalisha kuwa mtu aanze vibaya amalize vizuri, au aanze vizuri kisha amalize vibaya.Labda tunatofautiana kuhusu maana halisi ya utajiri. Jiulize kwanza tajiri ni nani? ni mtu wa namna gani? alafu ndo turejee sasa kwenye mjadala. Binafsi naamini wapo matajiri wanyoofu ambao ufalme wa mbingi ni halali yao.
Pia kwenye hili la ufalme wa mbingu kuna jambo moja la kuweka akilini. Daima mtu haukumiwi kwa namna alivyoanza maisha bali kwa namna alivyomaliza maisha.
Sauli (Paulo) aliwaua wengi lakini at the end akawa mtume wa kutegemewa.
Kuna haja gani kwa wewe kuhangaika kama unaitaji maisha ya msataafu bora uhamie kijijini unaishi maisha hayo
Tena hakuna ufukara mkubwa kama wa kukosa akili kichwani kama wewe ulivyojimaanisha kiakili katika profile lako kuwa kitu kipi kinautawala sana ubongo wako kuliko hata Muumba wako.Mafukara tunafarijika sana.