100% kwa mtu alielelewa kwenye familia yenye pesa atakubaliana na wewe, i have exprienced it utajiri ni zaidi ya yale tuyaonayo kwa macho. Wanayoyafanya matajiri yanatisha i have seen with my own eyes kwa mzee wangu enzi zake. Nmejikuta najua kila aina ya rangi za wanyama na kazi zao, nikifika dukani kwa mtu i can easily tell anatumia dawa gani! Inaogopesha sana inafika kipindi siutamni utajiri! Sometimes naweza kulipa nauli lkn nikiona vitu fulani fulani kwenye mabasi natafuta gari nyingine . Worse eneough mzee wangu ni Mkatoliki mzuri sana its hard to believe kwao kutoa kafara, kuzurumu,kuroga ni maisha ya kila siku na kitu cha kawaida
Dunia ni ngumu sana zaidi ya ionekanavyo kwa macho, kutamani kuwa bahkresa au mengi si vibaya lkn ukipewa viti vyao ukalie hata saa humalizi. Kuna siri nyingi sana za utajiri hawataji kwenye media, watakwambia work hard, believe in urself, na blaa blaaa zingine lkn hawatakwambia siri halisi.