Utaipata kwa Laki...

mke wa John (Lisa) na Fred wote wajanja.Mke wa john alimtamani sana Fred ndo maana akamwachia wazi bustani yake ili Fred aione alipoinama kuokota karata. Na Lisa alipompa Fred green light naye Fred akili yake ikasuka mpango wa kupata laki na akafanikiwa. Waona jinsi wanawake na wanaume walivyo? Mke kauza bwana katoa hela ya kununua na mlaji kala vya mteremko.Yote haya kayazua mke wa John.Angekaa vizuri kwa kubana miguu yake kama wakaavyo wanawake waadilifu, bustani isingelimwa wala mumewe kugharamia laki moja.

Bujibuji upo?
 
mke wa John (Lisa) na Fred wote wajanja.Mke wa john alimtamani sana Fred ndo maana akamwachia wazi bustani yake ili Fred aione alipoinama kuokota karata. Na Lisa alipompa Fred green light naye Fred akili yake ikasuka mpango wa kupata laki na akafanikiwa. Waona jinsi wanawake na wanaume walivyo? Mke kauza bwana katoa hela ya kununua na mlaji kala vya mteremko.Yote haya kayazua mke wa John.Angekaa vizuri kwa kubana miguu yake kama wakaavyo wanawake waadilifu, bustani isingelimwa buree!

Bujibuji upo?
 
Tehe tehe tehe tehe, mbavu sina wajameni!!!!!
Ina maana dogo kala kitu roho inapenda bure kabisa japokuwa Lisa aliinadi kwa kilo!!!!! Ama kweli mjini shule,
..John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja".
John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
 
Back
Top Bottom