UTAHAMIA WAPI FACEBOOK IKIFUNGWA (kwa wale watumiaji wa facebook)??

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network gani?(sisemi kwamba ninahakika itafungwa) ...
Ni mtazamo tu wajameni...!!:confused2:
 
Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
852
201
I would simply go to the NEW iCombined | Together We Make it Shine because ina vitu vyote vya facebook kama tagging, like, thanks, comments, groups,messaging, mpaka @username. Zaidi ya yote iCombined.tk ni forums. Jambo linalofanya watu kufahamiana zaidi. Bado ni mpya but i'm sure baada ya some time itawaka sana. Fb kufungwa possibility ni ndogo mno.
 
Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
731
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network gani?(sisemi kwamba ninahakika itafungwa) ...
Ni mtazamo tu wajameni...!!:confused2:

Tutabaki humu humu JF na a.k.a. zetu kama zamani.
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
I would simply go to the NEW iCombined | Together We Make it Shine because ina vitu vyote vya facebook kama tagging, like, thanks, comments, groups,messaging, mpaka @username. Zaidi ya yote iCombined.tk ni forums. Jambo linalofanya watu kufahamiana zaidi. Bado ni mpya but i'm sure baada ya some time itawaka sana. Fb kufungwa possibility ni ndogo mno.
dah hata mimi nilikuwa siijui hii...ngoja niicheck...
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
mmh jamani ni mtazamo tu...mbona mnakuwa wakali tena!!??:confused2:
 
morio

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
207
69
Kwani ni lazima niwe kwenye mtandao wowote? Mamia kwa maelf hawapo kwenye mtandao wowote lakini wanadunda tu Kama kawa!

I have never signed in FB, sijui TWITTER na zote zile, wala sina mpango wa kufanya hivyo. JF nilijiounga coz kuna a.k.a, thinking down the road I think I made the right decision. Close friend walinifungulia mpaka account kwa jina langu bt I never visit it nikawaomba waidelete. Nasikia nowdayz kuna securities nyingi kiasi so hata ukijiunga kuna privacy fulani. Niliiga kwa my 1st boss alikuwa mmama wa Kimarekani alikuwa na skype account tu ambayo alikuwa anatumia kupigia simu familia kwao na alivyoondoka alihakikisha nimejiunga ili tuendelee kuwasiliana. No picture kwenye profile, ver private. In 2009 nillipewa lists ya watu ambao wataitwa kwenye interview cha kwanza tuliambiwa open their FB account, was amaized at how pple share non senses in their pages so iliturahisishia kazi sana almost 90% tuliawadisqualify kwa walls zao tu, so go there kwa akili.
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
na ndo maana niliuita mtazamo tu huu...naamini tutajifunza mengi hapa..!!
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
I would simply go to the NEW iCombined | Together We Make it Shine because ina vitu vyote vya facebook kama tagging, like, thanks, comments, groups,messaging, mpaka @username. Zaidi ya yote iCombined.tk ni forums. Jambo linalofanya watu kufahamiana zaidi. Bado ni mpya but i'm sure baada ya some time itawaka sana. Fb kufungwa possibility ni ndogo mno.
Daaah nimejaribu kujiunga icombined mkuu lakini kili nikitaka kuregister napata msg hii;
"Your details match those of a known spammer, therefore you have been disallowed registration." msaada wako mkuu
 
AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,032
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network gani?(sisemi kwamba ninahakika itafungwa) ...
Ni mtazamo tu wajameni...!!:confused2:

Mbona huulizi CCM kikizikwa utahamia Chama kipi, kimeshakufa bado kufukiwa tu shimoni
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,441
8,229
Facebook ndo nini??ndo cloudsfm?? au nielimisheni au ni chama kipya??au kitabu kipya novel au jamani niambieni hiki kinaitwa facebook?/crap facebook wazungu ndo wenye facebook nyie mnaweka ujinga mtu akidu anaweka akijamba anaweka ukiachana na demu unaweka ukiliwa na viroboto unaweka kitugani hakina moderator!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom