UTAHAMIA WAPI FACEBOOK IKIFUNGWA (kwa wale watumiaji wa facebook)??

bora kubaki humuhumu kwani siku si nyingi na sisi jf tutakuwa na via samsung or iphone angalia baada ya report post kunaonesha nini kama unatumia simu tu..
 
Daaah nimejaribu kujiunga icombined mkuu lakini kili nikitaka kuregister napata msg hii;
"Your details match those of a known spammer, therefore you have been disallowed registration." msaada wako mkuu

mkuu hawa jamaa wana security ya ajabu against spammers. Nimecheck na mods wao now everything is fine.
 
Mimi Hata kama facebook haifungwi mimi nimehamia kwenye mtandao huu mpya na bomba kabisa ambao ni facebook ya bongo ( www.rafikibuzz.com ) Imeitwa facebook ya bongo coz inafanana na facebook. ni nzuri sana nawe jiunge hutajutia. Tuiungeni mkono nayo iwe juu
Nilishawahi jiunga huko lakini tatizo ikawa its very veeeeery slow kwenye upande wa chating sasa sijui wamerekebisha hilo?
 
jamani madhumuni hapa ni kupeana info kuhusu mitandao mingine pia...mfano mi nlikuwa sijui kuhusu hii RAFIKIBUZZ (facebook ya kibongo) na zingine zilizoorodheshwa na baadhi ya wadau hapo...si ajabu ningechelewa sana kuzifahamu na pengine nisingezijua kabisa ila sasa nimezijua...na nimeshazitembelea zote...
 
Na utakuwa unauza chai kwenye forum gani ya kitanzania iwapo jamiiforums ikifungwa ?

Bila kufuta mlolongo kati ya hizi na nyingine unazojua
Rafikiforum
iCombined | Together We Make it Shine
AfroIT Forums - Kijiji cha ICT •*CCNA BootCamp -
Wanabidii | Google Groups

mmh hili nalo neno wajameni...afu juzi nilisoma post moja kuhusu kuchangia JF wajameni maana according to MODERATORS kuna kipindi server ilishawahi kuzidiwa na mzigo wa watu ikabidi ziongezwe server zengine na zinagharimu mshiko....(post yake ipo hapa : https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/22767-changia-jf-mkono-mtupu-haulambwi.html#post355625 ) actually mimi mwenyewe bado sijachangia ila niko mbioni kufanay hivyo so na kwa wale waliokuwa hawajui wajameni tuiwezesha JF izidi kusonga mbele maana lah...:help:
 
Fanya ivo mkubwa
 
Facebook ndo nini??ndo cloudsfm?? au nielimisheni au ni chama kipya??au kitabu kipya novel au jamani niambieni hiki kinaitwa facebook?/crap facebook wazungu ndo wenye facebook nyie mnaweka ujinga mtu akidu anaweka akijamba anaweka ukiachana na demu unaweka ukiliwa na viroboto unaweka kitugani hakina moderator!!

Ile kitu Fb inatakiwa iwe inasimamiwa na PAW. Mpaka leo hii angesha washughulikia nusu ya watumiaji kwa ujinga wao. Huyu jamaa hana utani.
 
Facebook ndo nini??ndo cloudsfm?? au nielimisheni au ni chama kipya??au kitabu kipya novel au jamani niambieni hiki kinaitwa facebook?/crap facebook wazungu ndo wenye facebook nyie mnaweka ujinga mtu akidu anaweka akijamba anaweka ukiachana na demu unaweka ukiliwa na viroboto unaweka kitugani hakina moderator!!
<br><br>Ile kitu Fb inatakiwa iwe inasimamiwa na PAW. Mpaka leo hii angesha washughulikia nusu ya watumiaji kwa ujinga wao. Huyu jamaa hana utani.<div id="myEventWatcherDiv" style="display:none;"></div>
 
Back
Top Bottom