Utafutaji pesa kihalali

Utafutaji pesa kihalali

bless98

New Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Jamani natafuta kifaa kiitwacho detector kinachotumika kupima madini kwenye kwa ku sensor mwenye utaalamu nacho anitafute please 0712696226
 
kinachotumika kupima madini kwenye kwa ku sensor mwenye
1638607835607.png


1638607875628.png


Hiki kifaa waweza kutumia kwenye ardhi na hata kwenye maji,

Hivi vifaa (detector) vipo vya ghalama tofauti tofauti kulingana na ufanisi wake.

1638607975922.png


Kuna mdau wa hapa JF nilimnunulia miaka miwili iliyopita
1638608307348.png


Link yake hii hapa
Code:
https://www.amazon.com/gp/product/B072MHXVR5/ref=ppx_yo_dt_b_asin_title_o01_s00?ie=UTF8&psc=1
1638608436356.png


Je nini unatakiwa kufanya
  • Fahamu mazingira utakayokuwa unafanyia huo utafutaji wa madini.
  • Wasiliana na mtaalamu wa madini akupe specification ya detector yenye uwezo wa kutazama chini umbali wa mita ngapi. (Lengo ni kuagiza kifaa kitakacho kidhi mahitaji)
  • Kisha ingia amazon na tafuta detector itakayokidhi mahitaji.
Waweza kuagiza wewe mwenyewe iwapo unajua nini unatakiwa kufanya.

Au waweza kutoa order ya kununuliwa na kufikishiwa ulipo.

Zaidi jinsi ya kufanya orders ingia hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Icho kifaa Kinahusikaje na mada tajwa hapo juu?
 
Back
Top Bottom