technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.
Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate kinyume na Sheria wakati yeye anaitumia jamii forums.
Mpaka gazeti la the citizen nikaandika ile habari juu ya kashifa Ile kwamba kitu ambacho hakijasajiliwa na kufuata vigezo kinatumiwa na waziri wa mambo ya ndani ambaye polisi wanamshitaki Mello wako chini ya Mwigulu.
Sasa ukija kwa Samia anatumia Twitter wakati kaifungia
Sasa inakuwaje kitu umekifungia halafu unakitumia?!!