Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

IMG00208-20101007-1434.jpg


IMG00209-20101007-1447.jpg


jedwali1.jpg


jedwali2.jpg


jedwali3.jpg


jedwali4.jpg


matokeo-1.jpg


redet-1.jpg
 
REDET imeundwa na CCM, nani asiyejua, CCM wamechemka 2010 ile mbaya, kila kona wakigusa wanakutana na MOTO, wananchi wanasema HAWADANGANYIKI TENA, for 50 years mmetudanganya, kutuonea, kila jambo baya mmefanya, sasa MUNGU ameyaona, amewasikia Watanzania, mwisho wenu 31 oct. hivi Jk anaona mikutano ya Dr Slaa kweli..???????? mwaka huu hakuna kuiba kura tutalala vituoni, believe me, NGUVU YA UMMA hautaiweza JK na CCM ya Familia BYEEEEEEEEE, for good. Nasema wanaCCM wengi watampigia DR Slaa kama hamjui, zunguka ongea na watu mikoa yote, kwa simu, au kwa namna yoyote ile, MAAJABU MAKUBWA YANAKUJA CHANGE FOR TZ
 
Kama hizi ndiyo data za Halisi inabidi aombe samahani maana zimepitwa na wakati na zimepoteza muda wangu. Kwa hiyo bwana HALISI pamoja na kuwa PREMIUM member umebore
 
Tunaomba na page za sampling yao. Ni watu wa wapi hao waliowahusisha? Kwa ujumla ukiangalia hizo results utagundua kuwa CHADEMA imefanya vyema baada ya Dr Slaa kutangazwa mgombea. Maana yake ni kwamba CHADEMA walikosea saana kuanza mikakati ya mgombea Urais. Pia wangepata Mgombea mwenza ambaye ni sahihi basi huenda na yeye angeongeza kura kwa kiasi fulani.
 
Tunaomba na page za sampling yao. Ni watu wa wapi hao waliowahusisha? Kwa ujumla ukiangalia hizo results utagundua kuwa CHADEMA imefanya vyema baada ya Dr Slaa kutangazwa mgombea. Maana yake ni kwamba CHADEMA walikosea saana kuanza mikakati ya mgombea Urais. Pia wangepata Mgombea mwenza ambaye ni sahihi basi huenda na yeye angeongeza kura kwa kiasi fulani.

Hii ni poll ya March
 
Halisi, mbona taarifa za awali jana ilishasemwa kuwa Kikwete 88 % na wengine wote wanagawana zile 12 % zilizobaki? Hata hivyo hakuna haja ya kujadili kitu cha kinadharia, attach ripot tusome contents halafu tuendelee. Msema ukweli ni wapiga kura jamani, hizi taarifa za sample surveys zinaweza kutugombanisha bure!!!!

Mwenzetu una hata muda wa kusoma hiyo ripoti. Bora nipambane na MS humu kuliko kufuatilia huu upuuzi.

Kura zao weneyewe za Daily News na Uhuru ziliwapiga chini wamekuja wakadai zimechakachuliwa. Sasa wameenda kutengeneza vile wanavyotaka wenyewe kumfurahisha JK. JK akumbuke kuwa hata Kaunda alidanganywa hivyo hivyo mpaka siku ya mwisho.
 
Inawezekana huo utafiti ukawa wa matangazo ya wagombea kwenye supposedly TV ta Taifa (TBC). Yes, kwenye TBC JK kaonekana mara nyingi kuliko Dr. Slaa.........hizo asilimia ni za muenekano kwenye TBC.
 
Hivi Principal Investigator wa Redet ni nani? wasaidizi wake nao wanatoka wapi?
 
Hawa REDET wanapata wapi hizo takwimu wakati taarifa za inteligensia zinasema vingine ,hawa ni wa kupigwa mawe palepale juu mlimani ,Utafiti wa kupikwa ni kitu kingine lakini maamuzi ya wananchi ni kitu kingine wamechezea moto ninavyowafahamu Chadema watakuja na facts jinsi walivyopika matokeo,Jakaya akubaliane tuu na ukweli aanze kujiandaa kuondoka ikulu tafiti za kupikwa hazitatubadilisha mawazo wananchi lazima watakiona cha moto mwaka huu
 
31.10.2010 Ndio itadhihirisha ukweli kwamba REDET ni taka taka. Hili la Kikwete na Slaa halihitaji kuambiwa nani anaongoza kwa kupendwa.
 
Dr Benson Bana nae kasomeshwa bure huyu sasa anaaibisha taaluma yake.shame on u Bana.historia itakuhukumu na wwoote mnaochakachua nao huo uongo.
 
31.10.2010 Ndio itadhihirisha ukweli kwamba REDET ni taka taka. Hili la Kikwete na Slaa halihitaji kuambiwa nani anaongoza kwa kupendwa.

Mkuu hayo ndo matokeo yaliyopangwa yawe mzee tena hao TBC nani asiojua mpango wao? Hayo ndo watashabikia kweli kweli
 
Yetu macho, ila matokeo ndo hayo!!

hatushangai kwani si ni REDET ile ile ya VC wa UDSM? Au ni ingine jamani...!!!
 
Back
Top Bottom