Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,765
4,033
Kuna mpango wa Utafiti wa Elimu ya democrasia wa chuo kikuu cha Dar es salaam(REDET) wa kuaandaa taarifa zitakazoonyesha kuwa mgombea uraisi wa CCM,Jakaya Kikwete,amepata ushindi wa asilimia 80% katika kura za maoni zitakazopigwa hivi karibuni.

Taarifa zinasema vijana waliopelekwa na REDET kufanya kura ya maoni wamenyimwa madaftari ya wakazi ambamo wangeopoa mtu mmoja mmoja wa kuuliza.Badala yake wanukuu maoni wamekuwa wakielezwa kuwa wanukuu maoni ya wajumbe wa nyumba kumi (Balozi) wa CCM na mashabiki wakubwa wa chama hicho,uataratibu ambao utaonyesha kuwa wanaopenda CCM na Kikwete ni wengi.Ripoti ya REDET imepangwa kutolewa wiki mbili kabla ya uchaguzi mkuu wa 31 October 2010 ikionyesha mshindi kuwa Kikwete kwa asilimia 80.


(Source:MwanaHalisi,October 6-12,2010, "Njama za kuiba kura hizi hapa",pp, 1-2)

REDET sasa inaanza kutumiwa kisiasa kusaidia CCM ishinde,kwa sasa hiki siyo chombo huru tena na matokeo ya tafiti zake yapuuzwe!

UPDATES:

7th Sept 2010: REDET wametangaza KIKWETE atapara ushindi 71% kura zao za maoni na Dk. Slaa 12%

REDET2010.jpg


To get the report in full CLICK HERE
 
Umechelewa kujua yaani hilo umejua leo kuhusu REDET hao ndo kawaida yao kuchakachua utafiti wao!!
 
(Source:MwanaHalisi,October 6-12,2010, “Njama za kuiba kura hizi hapa”,pp, 1-2)

Duh! hii noma hii..kweli mfa maji(thithiemu) haishi kutapatapa!!afu nimeitafuta iyo habari online kwenye hilo gazeti sijaipata bado...wadau atakaeweza ipata tuwekeeni link na sisi tui"dadavue" hiyo!!
 
Umakamu wa ukuu wa chuo cha UDSM ulipatikana kama ahsante kwa Mukandala kwa kazi nzuri ya kuchakachua tafiti mwaka 2005 zilizoonyesha kuwa msanii alikuwaanaongoza ingawa haikuwa hivyo; sasa wanawatumia wale wale kujaribu kuchakachua tena lakini safari hii HATUDANGANYIKI!! Imekula kwao.
 
Jamani hiki ni chombo huru, kama lilivyo gazeti huru la kila siku la Uhuru.:moony:
 
Source: MwanaHalisi


MwanaHalisi ya leo inasema kuwa ile REDET ya CCM inategemea kutoa Matokeo yake week mbili kabla ya uchaguzi kuwa kikwete anakubalika 80%

REDET wamekuwa wazee wa kuchakachua


Mytake

REDET inashusha Dhamani ya chuo chetu UDSM
 
duu kazi kwelikweli!!

Kama ni makusudi ya kupotosha umma sawa lakini taasisi kwa umahiri wake isingewatumia mabalozi na marafiki kama si kuingia ubia wa thithiemuuu kwa lengo la kumfurahisha JMK MWAKA HUU WADANGANYIKA HATUDANGANYIKIIII:rain:
 
............kwani mzee bado unawaamini REDET? hiyo imekuwa sehemu ya kupatia vyeo UDSM, vile vyeo vya kuteuliwa na mkulu!!! otherwise I believe ubashiri wa mbwa wangu, Bill, kuliko ubashiri wa REDET
 
hivi hizo questionaire huwa anapewwa nani? au sample ni wao wenyewe?
 
Source: MwanaHalisi


MwanaHalisi ya leo inasema kuwa ile REDET ya CCM inategemea kutoa Matokeo yake week mbili kabla ya uchaguzi kuwa kikwete anakubalika 80%

REDET wamekuwa wazee wa kuchakachua


Mytake

REDET inashusha Dhamani ya chuo chetu UDSM

mkuu, REDET wanaandika kitu ambacho siajabu ndio kimepangwa kuwa hivyo... kwahiyo usishangae majibu yakwa hayo!!! if you dont have faith with redet, why would they publish something credible

redet wana maana yao
 
who the hell is REDET? Mkandala si ndo mwenye ile slogani ya Ari mpya, nguvu mpya na .....nini tena! sidhani kama REDET ina jipya hapa Tanzania zaidi ya kutumia vibaya elimu yao waliyonayo. They are unprofessional, biased and don't even think of positive from REDET.
 
wasomi wakutegemewa wanapokuwa achumia tumbo.... twaelekea kubaya...!
 
afu kuna hawa watu hawa wa usimamizi wa uchaguzi kutoka europe jana wametangazwa TBC ...hawa mnawaonaje wadau..wanaaminika kweli hawa..??
 
source: Mwanahalisi


mwanahalisi ya leo inasema kuwa ile redet ya ccm inategemea kutoa matokeo yake week mbili kabla ya uchaguzi kuwa kikwete anakubalika 80%

redet wamekuwa wazee wa kuchakachua


mytake

redet inashusha dhamani ya chuo chetu udsm

mafiiiiiiiiiiiiii .....!!!!!!!!!! 80%????????
 
REDET mbona walishadharaulika siku nyingi sana? Hakuna mtu mwenye akili anayewafuatilia utafiti wao feki.
 
Yule mama mwenyekiti wa hiyo ccm-redet ameahidiwa umakamu mkuu wa chuo cha udom maana idrissa kikula anastaafu, gender balance wakuu wa vyuo wanawake nchini hakuna.
 
Back
Top Bottom