Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
HALISI
please come out ututhibitishie hizi taarifa maana naona kama ni bandiko tu lisilo na depth ndani yake pls
Kwa sisi wanasayansi result hiyo hatuwezi kuipinga kwa kuwa research methodology hatujaambiwa ikoje... Kama sample ni wajumbe wa NEC ya CCM, au Wafanyakazi wa TBC1 inawezekana kabisa kupata matokeo hayo ya JK %88. Tusubiri watangaze watuambie sample size ilikuwaje ndo tuanze kujadili, vinginevyo tutapoteza muda bure. Na wanajua kabisa kuwa researchers Tanzania siku hizi ni wengi na pia future ya taasisi hiyo inategemea uadilifu so njaa zao za kujikomba ili wakombolewe na JK leo itawanyima kula kesho