zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
Gamba wewe, DR SLAA ni rais wetu 20015,Kawadanganye MAFISADI WENZAKO.
Kweli kabisa, tutazaliwa tena huko.
Gamba wewe, DR SLAA ni rais wetu 20015,Kawadanganye MAFISADI WENZAKO.
Duh, great thinkers wa JF wanasikitisha. Wanaacha kujibu kilichoongelewa na badala yake wanavurumisha matusi. Upinzani wa matusi wala hauongezi wanachama Chadema na badala yake unarudisha wanachama CCM. Labda ili tulete mapinduzi ya kweli inatubidi wanachama wa upinzani tuanze kuheshimika kwa kuheshimu tunaowpinga badala ya kuwatukana, na tuanze hapa JF.
Ivi hayo ni mawazo yako au ni baada ya kufanya utafiti usiozingatia kanunu za utafiti?Kuna ukweli ambao yeyote hata kama si mpenzi wa CDM kama mimi ninakiri kuwa slaa alikuwa mbunge mahili sana na aliweza kutoa michango hai bungeni pamoja na kujenga hoja katika lile jumba la kifahari BIG BROTHER, lakini watu wengi wamekuwa wakihoji ni kipi kilichompelekea Dr. Yule aliyeruka toka diploma hadi Phd kugombea urais, Leo nitawaeleza siri kubwa ambayo ndio motive behind slaa kugombea.
Inasemekana CDM haikuwa na mpango wa kumsimamisha mgombea wa urais mwaka 2010, katika kikao chake kilichofanyika arusha baadhi ya viongozi walimpendekeza mboye ambaye alikataa, lakini pia wapo wajumbe walioshauri kuelekeza nguvu katika ubunge, udiwani na kukijenga chama zaidi, hoja hii ya pili ilipata nguvu sana na ndio lilikuwa azimio lisilo rasmi katika kikao kile.
Slaa alipatikanaje?
Inasemekana alishauriwa na baadhi ya wasisi wa CDM na pia katika kundi hilo walikuwepo viongozi wa Watakatifu, inasemekana Dr. hakushawishika na ushauri huo na aliomba ifanyike tathmin sahihi na aelezwe option zote ikiwemo nini atapata in return kama atakosa urais. Katika tathmini na upembuzi wao wataalamu wakaja na mambo yafuatayo
Mapendekezo yalikuwa mengi ila hayo ni yale makubwa na baada ya mapendekezo hayo, ndio Dr. alipokubali kuyavulia nguo maji,
- Bila kujua kuwa walikuwa wanatumia daftari la kudumu la wapiga kura la zamani, hesabu za watu kwa kutumia majina yao(Sijui kwa nini walitumia majina), zilionyesha slaa anaweza kupata 52% ya kura zote kama mikakati itafanikiwa
- In case atakosa uongozi, atalipwa malipo yake yote kama alivyokuwa akipata akiwa mbunge (yaani 7.5 Milions)
- Watakatifu waliahidi full support kwa kutumia nafasi zao walizopewa ili slaa awe chaguo la mungu baada ya JK
Udhaifu wa mapendekezo:
Kwa hakika lile lilikuwa kosa kubwa sana, moja ni kwasababu wengi wa watanzania hawapigi kura na huwezi kutegemea ushindi kwa watu hao, lakini baada ya mwezi mmoja kupita, TUME HURU YA UCHAGUZI ikatoa updated daftari la kudumu la wapiga kura likiwa na idadi kubwa zaid ya ile ya awali , kama mnakumbuka ilizusha malalamiko mkubwa na lilikuwa pigo la kwanza kwa CDM kwa kuwa kwa hesabu zilezile za majina lilipelekea mgombea wa CDM kuwa down.
Mwisho namshauri slaa next time 2015, agombee ubunge tena kwa kuwa tumeliona pengo lako bungeni na usipoteze tena muda wako na kugombea urais kwa kuwa ilikuwa kosa la kihistoria.
Asanteni
Trojan Downloader
Kuna ukweli ambao yeyote hata kama si mpenzi wa CDM kama mimi ninakiri kuwa slaa alikuwa mbunge mahili sana na aliweza kutoa michango hai bungeni pamoja na kujenga hoja katika lile jumba la kifahari BIG BROTHER, lakini watu wengi wamekuwa wakihoji ni kipi kilichompelekea Dr. Yule aliyeruka toka diploma hadi Phd kugombea urais, Leo nitawaeleza siri kubwa ambayo ndio motive behind slaa kugombea.
Inasemekana CDM haikuwa na mpango wa kumsimamisha mgombea wa urais mwaka 2010, katika kikao chake kilichofanyika arusha baadhi ya viongozi walimpendekeza mboye ambaye alikataa, lakini pia wapo wajumbe walioshauri kuelekeza nguvu katika ubunge, udiwani na kukijenga chama zaidi, hoja hii ya pili ilipata nguvu sana na ndio lilikuwa azimio lisilo rasmi katika kikao kile.
Slaa alipatikanaje?
Inasemekana alishauriwa na baadhi ya wasisi wa CDM na pia katika kundi hilo walikuwepo viongozi wa Watakatifu, inasemekana Dr. hakushawishika na ushauri huo na aliomba ifanyike tathmin sahihi na aelezwe option zote ikiwemo nini atapata in return kama atakosa urais. Katika tathmini na upembuzi wao wataalamu wakaja na mambo yafuatayo
Mapendekezo yalikuwa mengi ila hayo ni yale makubwa na baada ya mapendekezo hayo, ndio Dr. alipokubali kuyavulia nguo maji,
- Bila kujua kuwa walikuwa wanatumia daftari la kudumu la wapiga kura la zamani, hesabu za watu kwa kutumia majina yao(Sijui kwa nini walitumia majina), zilionyesha slaa anaweza kupata 52% ya kura zote kama mikakati itafanikiwa
- In case atakosa uongozi, atalipwa malipo yake yote kama alivyokuwa akipata akiwa mbunge (yaani 7.5 Milions)
- Watakatifu waliahidi full support kwa kutumia nafasi zao walizopewa ili slaa awe chaguo la mungu baada ya JK
Udhaifu wa mapendekezo:
Kwa hakika lile lilikuwa kosa kubwa sana, moja ni kwasababu wengi wa watanzania hawapigi kura na huwezi kutegemea ushindi kwa watu hao, lakini baada ya mwezi mmoja kupita, TUME HURU YA UCHAGUZI ikatoa updated daftari la kudumu la wapiga kura likiwa na idadi kubwa zaid ya ile ya awali , kama mnakumbuka ilizusha malalamiko mkubwa na lilikuwa pigo la kwanza kwa CDM kwa kuwa kwa hesabu zilezile za majina lilipelekea mgombea wa CDM kuwa down.
Mwisho namshauri slaa next time 2015, agombee ubunge tena kwa kuwa tumeliona pengo lako bungeni na usipoteze tena muda wako na kugombea urais kwa kuwa ilikuwa kosa la kihistoria.
Asanteni
Trojan Downloader
Halafu nyie ndio mnajiita magretithinka?
Kweli kazi ipo mwaka huu...
"umeongea kama vile umetoka kuanguka kwenye mti"
nakaa kimya kuepusha BAN
Kwa mujibu wa maelezo yako hao wachache wanaopiga kura hapa Tanzania ndio huwa wanawapa kura CCM? Kama mnaogopa DR.Slaa kugombea urais mnaona lazima ashinde nyinyi anzeni kutekeleza matakwa ya wananchi hawatakuwa na haja na Slaa. Na ukumbuke kama mnajipanga kupambana na Slaa tu mjue mmeliwa maana 2010 mlijua mnapambana na Mbowe. Bila Jaji Lewis Makame kufunga goli la mkono mbona mechi ingekuwa saa hii bingwa mwingine
uzoefu unaonyesha kupungua kwa kura kwa mpinzani pindi anaporudia kugombea! ila kwa kuwa umesema 20015 na sio 2015 may be ila ni miaka mingi sana kama karne ishirini zijazo.
Mwenzio slaa keshakubali kikwete rais wake angalia alipoenda ikulu wewe bado huamini, kweli watz wa ajabu utafikili mnaishi sayari nyengine?
Hahahahahaaaaahahahaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
NAONA NI KWA JINSI GANI MAGAMBA YANAPUKUTIKA KILA YAKISIKIA DR SLAA ATAGOMBEA MWAKA 2015.
WEWE NI MTU WA ZAIDI YA ISHIRINI HUMU JF UNAJARIBU KUJENGA HOJA
2015 SLAA ASIGOMBEE, KWA NINI HAMUMSHAURI LIPUMBA ASIGOMBEE????
INAONESHA NI KWA KIASI GANI DR SLAA ANAWAKOSESHA USINGIZI
COZ MNAJUA 2015 TANZANIA HII HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUSIMAMA NAE KUGOMBEA URAISI.
POLENI SANA WATANI HAHAHAAAA
Hebu acheni kumchuria babu wa watu.
2015 ni mbali na afya yake mwaiona
OTIS