Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

My research wadada wa kazi ndio watakuja kutowa kizazi bora cha wife material maana wao ndio wanaohudumia waume za watu sasa hivi.
Mkuu kumbuka hao wadada wa kazi watakuwa ni wamama wa nyumbani tu, hawawasaidii kutafuta pesa wala kuhudumia familia, watakuwa wanawategemea waume zao kiuchumi

Mimi nazungumzia wale wanawake ambao, mnataka wawasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia, na bado mnataka wafanye majukumu ya nyumbani kama wadada wa kazi hilo ni gumu sana

Hoja yangu ni kwamba lazima mchague kimoja mpoteze kimoja hamuwezi kupata vyote, ni either uoe mama wa nyumbani ambaye atafanya majukumu ya nyumbani ila atakuwa tegemezi kwako kiuchumi, au uoe mfanyakazi au mfanyabiashara ambaye hatafanya majukumu ya nyumbani lakini atakusaidia kuhudumia familia na hatakuwa tegemezi kwako kiuchumi
 
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu hawezi kusaidiana na mke wake mambo ya nyumbani incase hamna dada.
 
Kuchagua ndoa ni kuchagua tatizo lakini tatizo sio ndoa tatizo liko kwenye kuchagua mtu wa kuwa nae kwenye ndoa. Mfano utasikia kadada kako na "flat screen" kanataka mwanaume mrefu mweusi, mwenye kidevu, mwenye mwanya sijui, na range. Hilo ni tatizo kubwa. Kadadaa kama haka hakajui nini maana ya ndoa. Ndio tatizo linaanzia hapa
 
Tatizo lenu wanaume hizo shida zenu mara nyingi huwa ni za kujitakia, yani mtu umehonga michepuko huko we pesa zimeisha unataka mkeo akuvumilie, au umefanya umalaya huko we umekwaa magonjwa unataka mke akuvumilie hebu acheni ubinafsi vaeni viatu vya wanawake
Kama unamjua mtu wako ,kila kitu kina sababu kwa nini ameanza kuonga mchepuko.Relax my dear ,focus you can not change or keep a man .Wewe angalia vitu vinavyokufanya uishi duniani (not him) kama kupendeza akikisha unafocus kujipenda ,kufanya kazi kwa bidii otherwise no one is perfect.
 
Mkuu kumbuka hao wadada wa kazi watakuwa ni wamama wa nyumbani tu, hawawasaidii kutafuta pesa wala kuhudumia familia, watakuwa wanawategemea waume zao kiuchumi

Mimi nazungumzia wale wanawake ambao, mnataka wawasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia, na bado mnataka wafanye majukumu ya nyumbani kama wadada wa kazi hilo ni gumu sana

Hoja yangu ni kwamba lazima mchague kimoja mpoteze kimoja hamuwezi kupata vyote, ni either uoe mama wa nyumbani ambaye atafanya majukumu ya nyumbani ila atakuwa tegemezi kwako kiuchumi, au uoe mfanyakazi au mfanyabiashara ambaye hatafanya majukumu ya nyumbani lakini atakusaidia kuhudumia familia na hatakuwa tegemezi kwako kiuchumi
MKwa uzoefu wangu,mwanamke wa ndoa kufanya kazi za nyumbani ni kujipanga.My experience nilikuwa na dada wa kazi wakati watoto wangu ni wadogo .Walivyoenda form 1 boarding wote ,niliondoa dada na principle yangu kuanzia wakiwa primary wakiwa holiday dada anaenda likizo na wenyewe wanajipanga na kila siku tunapanga majukumu ya nyumbani pamoja(from Baba yao mpaka watoto) .Mimi nafanya kazi ,tena niko busy sana na ni bosi mkubwa tu kwa level ya director na bado naweza kupika naosha vyombo nafanya usafi(utakuta mwanamke analipa kwenda "gym" akiamua kazi za nyumbani akafanya ndio gym yake) .Watoto wako university na sina dada wa kazi for almost 5 yrs now nina kijana anakuja twice a week kwa ajili ya huko nje tu.Niko Likizo ndio maana nina muda hata wa kuelimisha wamama wenzangu (sisemi kila kitu kita work kwa kila mtu) ila malezi na exposure ni muhimu sana.Kwa kuwa ungekuwa ulaya una luxury ya kuwa na mdada wa kazi unajipanga my dear.
 
Kama uko tayari kwa ndoa njoo, kama hauko usije

Kutokuoa au kutokuolewa sio dhambi

20240411_011213.jpg
 
Kwa upande wangu, ndoa inahitaji mwanamke mnyenyekevu na mwanaume mwenye akili, hiyo ndoa itaenda, pili lazima ujue stages za ndoa, wengine wanafikiri ndoa ni tendo la ndoa pale tendo linapokosekana shida inaanzia hapo, wengine wanaishi kwenye ndoa kwa kuangalia ndoa za wengine hilo pia ni tatizo, kubwa kuliko ni yale matarajio anayojiwekea mtu kwa mwenzi wake tofauti na uhalisia, mwanamke atajifanya anayajua mapenzi anakata viono kama Aisha Madinda akiingia kwenye ndoa anachoka hilo tatizo ni hayo tu
 
MKwa uzoefu wangu,mwanamke wa ndoa kufanya kazi za nyumbani ni kujipanga.My experience nilikuwa na dada wa kazi wakati watoto wangu ni wadogo .Walivyoenda form 1 boarding wote ,niliondoa dada na principle yangu kuanzia wakiwa primary wakiwa holiday dada anaenda likizo na wenyewe wanajipanga na kila siku tunapanga majukumu ya nyumbani pamoja(from Baba yao mpaka watoto) .Mimi nafanya kazi ,tena niko busy sana na ni bosi mkubwa tu kwa level ya director na bado naweza kupika naosha vyombo nafanya usafi(utakuta mwanamke analipa kwenda "gym" akiamua kazi za nyumbani akafanya ndio gym yake) .Watoto wako university na sina dada wa kazi for almost 5 yrs now nina kijana anakuja twice a week kwa ajili ya huko nje tu.Niko Likizo ndio maana nina muda hata wa kuelimisha wamama wenzangu (sisemi kila kitu kita work kwa kila mtu) ila malezi na exposure ni muhimu sana.Kwa kuwa ungekuwa ulaya una luxury ya kuwa na mdada wa kazi unajipanga my dear.
Ubarikiwe, hata ukimaliza likizo yako hizi notice hazifutiki hapa wanaojitambuwa watajisomea.
 
Sasa tatizo liko hapa, dunia imebadirika, gharama za maisha zimepanda na wanawake wanashiriki njia kuu za uchumi.

Sasa hapa tusidanganyane Kwa familia inayotaka kuishi maisha standard basi mambo yote ya familia aachiwe mwanaume siyo kweli.

Binafsi kipindi nasoma tulisoma shule za umma wote mpaka na watoto wa matajili.

Bi mkubwa alikuwa mfanyakazi na mshuwa mfanyakazi lakini Kwa jicho la kawaida Tu niliona commitment za Bi mkubwa financially kwenye malezi yetu.

Kimebadirika nini Kwa kizazi hiki? Ingawa wapo wachache Sana wanaojitambuwa.
Matola hili jambo linakuzwa kuliko uhalisia, Wanawake wa sasa “Wengi” wanashiriki financially katika “home development” na malezi ya watoto in fully capacity.

Mimi hushangaa sana watu wa Jf huwa mnaishi mitaa ipi ambapo hakuna diversity! Maana JF wanaume wote wake zao hawashiriki financially kutengeneza ndoa zao. Huku mitaani mbona tunaona mambo tofauti kabisa.

Mfano hiyo picha uliyoiweka hapo ya Diva na Mumewe, Huyo mwanamke ndiye anayeihudumia hiyo ndoa kwa 100% Mbona wanaume wa JF hili huwa hamlisemi?

Ndoa zinafungwa na kuvunjika kila siku, katika haya yote msimbebeshe mwanamke mzigo wa lawama kwa 100%
 
Naona ndoa za mke anabaki nyumbani zinadumu
Kuna uhusiano upi mkuu? Naomba ufafanuzi
Yaah sure, ujue hizi lawama za wanaume wengi ni za ajabu sana.

Huwa inasemekana mwanamke hajui anataka nini ila kwa sasa hata baadhi ya wanaume wako hivyo.
Anataka mke mtiifu, anaejituma kwa kazi za nyumbani(kumhudumia yeye kingono na huduma za kawaida, watoto na ndgu)
Halafu huyo mke awe anachangia chochote kiuchumi(ajishughulishe)

Japo Ke ni wazuri kwenye kufanya mambo mengi ila ndoa za namna hii lazima mke mambo yamshinde huko mbele.
Wanaume tuhudumie familia zetu.
 
Kuishi watu wawili wenye tabia tofauti ni mtihani sana’a.!!
Mmoja lazima apungue mwingine aongezeke, na sheria za hovyo zinakuwa nyingi..!!
Kila kitu mtu anajifanya mjuaji na malaika na kupenda kuabudiwa hapo ndio balaa linapoanza.!!

Wengi wanavumilia sababu hawana pa kwenda lakini moyoni wamechoka.!!
Mfumo dume **** watu wana endekeza mpaka sasa. Mwanaume kuwa juu sawa lakini usiwe mbabe ,ukisema hivi wanasema oh huo siyo uanaume, basi sawa kuwa mbabe kiasi still bado wanasema huo siyo uanaume basi sawa piga makofi kila siku huyo Mwanamke kama atakaa hapo ndani.
Kusikilizana kitu muhimu sanaa, hata Mwanamke yampasa kusikiliza.

Shida unapata mwanamke msikivu mwanaume anakuwa mbabe, mwanaume mstaarabu mwanamke anakuwa mbabe pia.

Ndiyo mwanzo wa kuja lalamika hapa oooh ndoa nyingi zimevurugika ndani wana ndoa wanaishi tuu ilimradi wakati wewe mwenyewe ndiyo chanzo cha kuharibu ndoa yako. 😂😂😂😂😂

Tabia zikisha pishana tuu basi hakuna ndoa hapo...umeongea point lamomy
 
Yaah sure, ujue hizi lawama za wanaume wengi ni za ajabu sana.

Huwa inasemekana mwanamke hajui anataka nini ila kwa sasa hata baadhi ya wanaume wako hivyo.
Anataka mke mtiifu, anaejituma kwa kazi za nyumbani(kumhudumia yeye kingono na huduma za kawaida, watoto na ndgu)
Halafu huyo mke awe anachangia chochote kiuchumi(ajishughulishe)

Japo Ke ni wazuri kwenye kufanya mambo mengi ila ndoa za namna hii lazima mke mambo yamshinde huko mbele.
Wanaume tuhudumie familia zetu.
Mwanamke atoke kazini saa 12 aingie jikoni kupika bado muda wa kulala akate viuno hii ni ngumu
 
Kama unamjua mtu wako ,kila kitu kina sababu kwa nini ameanza kuonga mchepuko.Relax my dear ,focus you can not change or keep a man .Wewe angalia vitu vinavyokufanya uishi duniani (not him) kama kupendeza akikisha unafocus kujipenda ,kufanya kazi kwa bidii otherwise no one is perfect.
Mkuu bila shaka unafahamu kuwa wanaume hawahitaji uwape sababu ya kuchepuka, wao wanajiona kwamba wameumbwa hivyo tu kuwa hawatosheki na mwanamke mmoja hata wakioa mke mmoja ila wakichepuka lazima wasingizie kwamba sababu ni wake zao hata kama si kweli, na kwanini unaona kama mwanamke tu ndiye anayetakiwa ayachukulie na ayapotezee madhaifu ya mume wake au unashauri na mwanaume naye afanye vivyo hivyo kwa mke wake
MKwa uzoefu wangu,mwanamke wa ndoa kufanya kazi za nyumbani ni kujipanga.My experience nilikuwa na dada wa kazi wakati watoto wangu ni wadogo .Walivyoenda form 1 boarding wote ,niliondoa dada na principle yangu kuanzia wakiwa primary wakiwa holiday dada anaenda likizo na wenyewe wanajipanga na kila siku tunapanga majukumu ya nyumbani pamoja(from Baba yao mpaka watoto) .Mimi nafanya kazi ,tena niko busy sana na ni bosi mkubwa tu kwa level ya director na bado naweza kupika naosha vyombo nafanya usafi(utakuta mwanamke analipa kwenda "gym" akiamua kazi za nyumbani akafanya ndio gym yake) .Watoto wako university na sina dada wa kazi for almost 5 yrs now nina kijana anakuja twice a week kwa ajili ya huko nje tu.Niko Likizo ndio maana nina muda hata wa kuelimisha wamama wenzangu (sisemi kila kitu kita work kwa kila mtu) ila malezi na exposure ni muhimu sana.Kwa kuwa ungekuwa ulaya una luxury ya kuwa na mdada wa kazi unajipanga my dear.
Nimegundua ninyi ndio mnaodanganya wanaume kwamba inawezekana mwanamke kufanya majukumu yake huku akisaidia na ya mwanaume, mwisho wa siku wakiingia kwenye ndoa wakakutana na hali tofauti wanaanza kuwalaumu wanawake, wakati kumbe ni wao ndio walikuwa na expectations nyingi zisizo na uhalisia

Hivi kwa karne hii unadhani ni wanawake wangapi wanaweza kubalance hayo yote bila kutetereka mahali, ukizingatia wanaume wenyewe ndio hawa wasio na shukurani hivyo wanawake nao wanaona ya nini kujichosha, wewe mwenyewe umesema ulianza kubalance hayo yote pale watoto wako walipokuwa wakubwa na kuanza kuenda boarding unaona sasa hapo

Sasa vipi katika ile miaka yote ambayo watoto ni wadogo na wanasoma day schools unadhani mtu anajibalance vipi hapo, mimi hoja yangu ni kwamba kwanini mwanamke atwishwe majukumu mengi kuliko mwanaume, ilihali wote wana uwezo wa kusaidiana sawa kwa sawa au kuweka wasaidizi na maisha yakaenda vizuri tu
 
Back
Top Bottom