Mke au mume anayeshirikisha mambo ya ndoa kwao ni zaidi ya mchawi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari,

Husika na kichwa cha habari,

Kama kuna kitu cha kuangalia wakati wa kuoa na kuolewa ni hili suala la mume au mke ambaye kila linalotokea kwenye ndoa yenu yeye anaripoti kwao.

Katika uchumba wenu kuwa makini kuangalia unataka kuoa mke wa aina Gani, maana unaweza oa mwandishi wa familia.

Kila anachofanya na wewe bila kujali usiri wa mambo yenu yeye anaweka wàzi kwa familia na ndugu zao.

Ninasema hivi sababu Siri katika ndoa ni jambo ambalo lina umuhimu sana hasa katika kuleta maendeleo.

Pia amani yenu ipo kwenu nyie wawili na mambo yenu ila sio kwa mtu wa tatu ambaye hajui makubaliano yenu.

Sasa ukute mnakitu fulani mnataka kufanya Cha maendeleo yeye anaripoti kwao na kutangaza bila kujua adui wa mtu ni wa nyumbani mwake.

Ndugu wengi wao hawapendi kuona wenzao wanafanikiwa na kuwapita kunakuwa na kawivu Fulani.

Hapo utapigwa kipapai na ndugu utakuta hata hako kakiwanja hukajengi.

Achana na hayo ya maendeleo, njoo kwenye yale maijibishano ambayo yanatokea ndani, yeye huyo mbio anaripoti kwao kama muandishi wa kujitegemea wa online.

Umeoa au kuolewa na ndugu au familia nzima yaani Kila jambo linajulikana Kila mahali, ukienda Ukweni wanakuchora kama katuni Fulani.

Haya yote ni kwakuwa umeolewa au kuoa mke na mume ambaye friji lake haliwezi kugandisha.

Namaliza kwa kusema, kuoa mke au mume ambaye anatoa mambo ya ndani na kupeleka kwao ni zaidi ya Mchawi.

Donatila
 
maisha ya sasa hujui mbaya wako nani mzuri wako nani unatakiwa kuitambua circle yako kwa kituo sana unaweza hisi mama ndio mtu sahihi ukaon umwambie b mkubwa tunatarajia kuanza kujenga sehem fulani mama lazima ana mtoto wake ampendaye wakiongea lazima ambwagie ndugu yako mambo yao s haba sku hiz wanatarajia kuanza ujenzi aweza kua amesema kwa wema kumbe ameuza raman kwa mchawi bora kua kimya watu waone matokeo
 
maisha ya sasa hujui mbaya wako nani mzuri wako nani unatakiwa kuitambua circle yako kwa kituo sana unaweza hisi mama ndio mtu sahihi ukaon umwambie b mkubwa tunatarajia kuanza kujenga sehem flan mama lazima ana mtoto wake ampendaye wakiongea lazima ambwagie ndugu yako mambo yao s haba sku hiz wanatarajia kuanza ujenzi aweza kua amesema kwa wema kumbe ameuza raman kwa mchawi bora kua kimya watu waone matokeo
Kweli kabisa, ni bora kukaa kimya wajionee matokeo tu...
 
Habari,

Husika na kichwa cha habari,

Kama kuna kitu cha kuangalia wakati wa kuoa na kuolewa ni hili suala la mume au mke ambaye kila linalotokea kwenye ndoa yenu yeye anaripoti kwao.

Katika uchumba wenu kuwa makini kuangalia unataka kuoa mke wa aina Gani, maana unaweza oa mwandishi wa familia.

Kila anachofanya na wewe bila kujali usiri wa mambo yenu yeye anaweka wàzi kwa familia na ndugu zao.

Ninasema hivi sababu Siri katika ndoa ni jambo ambalo lina umuhimu sana hasa katika kuleta maendeleo.

Pia amani yenu ipo kwenu nyie wawili na mambo yenu ila sio kwa mtu wa tatu ambaye hajui makubaliano yenu.

Sasa ukute mnakitu fulani mnataka kufanya Cha maendeleo yeye anaripoti kwao na kutangaza bila kujua adui wa mtu ni wa nyumbani mwake.

Ndugu wengi wao hawapendi kuona wenzao wanafanikiwa na kuwapita kunakuwa na kawivu Fulani.

Hapo utapigwa kipapai na ndugu utakuta hata hako kakiwanja hukajengi.

Achana na hayo ya maendeleo, njoo kwenye yale maijibishano ambayo yanatokea ndani, yeye huyo mbio anaripoti kwao kama muandishi wa kujitegemea wa online.

Umeoa au kuolewa na ndugu au familia nzima yaani Kila jambo linajulikana Kila mahali, ukienda Ukweni wanakuchora kama katuni Fulani.

Haya yote ni kwakuwa umeolewa au kuoa mke na mume ambaye friji lake haliwezi kugandisha.

Namaliza kwa kusema, kuoa mke au mume ambaye anatoa mambo ya ndani na kupeleka kwao ni zaidi ya Mchawi.

Donatila
Yaani huwa najisikia vinaya unakuta mtu anamsema mwenza kwa ndugu zake unajiuliza huyu ni mtu au aina ya katuni linalotembea barabarani? Unaanzaje kumsema mmeo au mkeo kwa Dada zako au mama yako eti huyu mke wangu yupo yupo hivi yupo vile huo kweli uchawi kabisa, halafu unakuta jitu zima MIDEVU USO MZIMA linapigia simu kidada chake ambacho hata ndoa hakina kinadanga tu halafu yeye anajiita msomi yupo mjini daa Mungu atusaidie.
 
Inaonyesha namna kuna watu bado wana akili za kushikiwa na ndugu..

Yaani akili za kitoto..
Hakuna tofauti na msukule tu, sasa wewe mwanaume mzima au mwanamke unagombana na mwenzio badala ya kukaa chini myamalize anaanza huyu mwanamke /Mme sijui kafanyaje unajiuliza na huko 6x6 unawaitaga ndugu zako mbona akili fupi hivyo na hiyo siku hizi wanayo wanaume wengi.
 
Habari,

Husika na kichwa cha habari,

Kama kuna kitu cha kuangalia wakati wa kuoa na kuolewa ni hili suala la mume au mke ambaye kila linalotokea kwenye ndoa yenu yeye anaripoti kwao.

Katika uchumba wenu kuwa makini kuangalia unataka kuoa mke wa aina Gani, maana unaweza oa mwandishi wa familia.

Kila anachofanya na wewe bila kujali usiri wa mambo yenu yeye anaweka wàzi kwa familia na ndugu zao.

Ninasema hivi sababu Siri katika ndoa ni jambo ambalo lina umuhimu sana hasa katika kuleta maendeleo.

Pia amani yenu ipo kwenu nyie wawili na mambo yenu ila sio kwa mtu wa tatu ambaye hajui makubaliano yenu.

Sasa ukute mnakitu fulani mnataka kufanya Cha maendeleo yeye anaripoti kwao na kutangaza bila kujua adui wa mtu ni wa nyumbani mwake.

Ndugu wengi wao hawapendi kuona wenzao wanafanikiwa na kuwapita kunakuwa na kawivu Fulani.

Hapo utapigwa kipapai na ndugu utakuta hata hako kakiwanja hukajengi.

Achana na hayo ya maendeleo, njoo kwenye yale maijibishano ambayo yanatokea ndani, yeye huyo mbio anaripoti kwao kama muandishi wa kujitegemea wa online.

Umeoa au kuolewa na ndugu au familia nzima yaani Kila jambo linajulikana Kila mahali, ukienda Ukweni wanakuchora kama katuni Fulani.

Haya yote ni kwakuwa umeolewa au kuoa mke na mume ambaye friji lake haliwezi kugandisha.

Namaliza kwa kusema, kuoa mke au mume ambaye anatoa mambo ya ndani na kupeleka kwao ni zaidi ya Mchawi.

Donatila

Ukichimba choo, juu lazima uweke breather ili harufu Mbaya itoke ni Muhimu sana.

Ukiishi na mwenza, hasa mke usipomsikiliza na kujali hisia zake breather yake ni ndugu zake.

Kama hutataka aka breath kwa ndugu zake, basi ataelekea kwa X wake huko kupata unafuu.

Hakuna mwanandoa mwenye changamoto na mume asimsikilkze aache kwenda kwa wazazi kujieleza.

Kama hayo huyataki basi na wewe ni mwana kataa ndoa, Chukua hatua, Haki Elimu.
 
Mnacomplicate mambo ndiyo maana ndoa siku hizi mnaziona ngumu.Vitu vidogo mnavikuza vinakuwa vikubwa.Kuna vitu si vya siri lakini mnavifanya siri.Sure I'm telling you,kila kitu unachokifanya inategemea na mtazamo wako hasi au chanya.Ndoa si ngumu kiasi hicho, acha kucomplicate mambo!
 
Hujaoa...

Unaongea ukiwa geto...

Huwezi elewa mambo haya ya kikubwa.
 
Yaani huwa najisikia vinaya unakuta mtu anamsema mwenza kwa ndugu zake unajiuliza huyu ni mtu au aina ya katuni linalotembea barabarani? Unaanzaje kumsema mmeo au mkeo kwa Dada zako au mama yako eti huyu mke wangu yupo yupo hivi yupo vile huo kweli uchawi kabisa, halafu unakuta jitu zima MIDEVU USO MZIMA linapigia simu kidada chake ambacho hata ndoa hakina kinadanga tu halafu yeye anajiita msomi yupo mjini daa Mungu atusaidie.
Ukitokea Ukweni wanaokujua kuliko unavyofikiri, unajifanyisha unaheshima, wanakuchora tuu

Ukiondoka wanasema lione....kinachofuata ni kusengenywa...
 
Back
Top Bottom