Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Mnyika hafai kabisaa,wanaubungo tunasema basi,dumu la maji tunanunua sh 2000 kwa sasa
Hivi wewe umerudi lini toka dodoma? Au umetoroka?
Mnyika hafai kabisaa,wanaubungo tunasema basi,dumu la maji tunanunua sh 2000 kwa sasa
Wacha wewe wasikusikie wafuasi, utaitwa majina lukuki
Teh teh teh teh nimecheka sana.Kumbe we umekuja juzi tu hapa! ah! tunabishana na wakuja tu, we humjui hata mzee Mfuga mbwa wa tip top, hupajui hata kwa mkata kimeo, we pale kwe daraja la manzese hujui kama ndio msufini, huwajui hata waimba mnanda wa mwanzo Hisani gari kubwa, kifupi hujui hata biti kaenga mwenyewe wa Mburahati alikuwa anakaa wapi, Jimbo la Ubungo limeharibiwa na siasa za kitoto za huyo dogo, sidhani kama atarudi mjengoni labda kwa kuteuliwa.
Kumbe Darasa la Saba.. Ndo maana huelewi.
hahahahahah mnaonaje mkimsimamisha mamlukiwa CCM kiongozi Mkuu ZZK hapo Ubungo? ...
Wananchi wa Kimara Temboni, Bonyokwa, Suka,wanataka maji na barabara siyo muongozo spika bungeni.
Blah blah kibao,
wana Ubungo ndio tutaamua,hataki kukanyaga huku anajua maji yalimshinda,na ndio kitakachomuua.
mwenye uhakika wa jambo lolote kwa asilimia 100 ni Mungu tu wengine tunabahatisha, hivyo Mnyika hana asilimia hizo
Wewe na Simiyu na wenzio mnaofanana nao huko Lumumba hata angeshuka aliyewaumba bado hamtamwelewa.
Is that all you can share with us....kwenye utafiti ka huu? Tatizo sio lako...tatizo n div 5 tuuuHAAAAAAHAAA ati mnyika atarudi Bungeni, hii ni ndoto ya mchana kweupe , ubunge atausikia kwenye redio tu, na ndio sababu kaamua kujipa unaibu wa saccos ili abaki na posho ya saccos baada ya kukosa ubunge
Wamtoe J.Mnyika wamuweke nani sasa:what:Natamani sana huyu jamaa ndio angekua mbunge wangu huku kwetu Songea mjini
Kumbe Darasa la Saba.. Ndo maana huelewi.
Mchukueni akawe mbungu wa Ufipa lakini siyo Ubungo