Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

Twendeni na takwimu ya Ufanisi, Linganisha kasi ya maendeleo ya jimbo la Ubungo na Majimbo Mengine ya Tanzania.
 
Mnyika ni dhaifu mno ndio mana mnaanza lugha zenu za kitoto km hii

Hivi umtoe mnyika ubungo umweke nani? Kijana machacjari km mnyika umtoe ubungo halafu bado useme watz wana akili timamu? Kulinganisha na waliomtangulia Mnyuka kafanya mengi. Huwezi kumlinganisha na Keenja. Rulikuwa hata hatumjui!. Maji yanakuja ubungo na hilo litakuwa ni big up kwa Mnyika.
 
Mnyika ni next level,hata mfanyeje hamtamweza. Anajua wajibu wake kama mbunge na hata majimbo mengine tunatamani kuwa na mbunge kama yeye
 
Ntaleta full version ya utafiti humu.... Kwa sasa naandaa softcopy niweke kwenye e-system

Mkuu ingependeza kama utafiti ungeenda na kwenye majimbo mengine ya dar maana magamba wanatoka povu kama vile jj ni mbunge wa dar nzima
 
Kosa kubwa la Mnyika ni kumuita kihalisia Mkiti wao wa Chama jina la.... (Cybercrime) Vinginevyo mitaahira ya Lumumba kamwe isingekuwa inakesha hapa kutupa taka zao..!!

Wakikurupushwa tu usingizini, kitu cha kwanza wanachowaza ni namna ya kupiga propaganda kwa Mnyika na Dr Slaa, Hata ulikurupushe saizi lile kubwa la Mataahira laki si pesa utasikia tu.!!! Ila wakizama kwenye kona hata wao wanajua hakuna mbunge bora tangu kuanza kwa awamu hii ya tano kama Mnyika nenda uendako.!!!

Kwanini ushindwe kumrudisha Bungeni mbunge kama huyu? Hata Shemeji gsu angekuwa anakaa Ubungo angempigia kura Mnyika.!! Hata kama angeahidiwa Mbege na Kinana.

Mnyika go go go go..

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
mwenye uhakika wa jambo lolote kwa asilimia 100 ni Mungu tu wengine tunabahatisha, hivyo Mnyika hana asilimia hizo
 
Wamtoe J.Mnyika wamuweke nani sasa:what:Natamani sana huyu jamaa ndio angekua mbunge wangu huku kwetu Songea mjini
 
Mbunge wa mitandaoni yule..hana jipya amechoka balaa

Tuletee wa BARABARANI basi tumuone...............Vinginevyo hata wewe ningekushauri weka TICK kwa MNYIKA FOR UBUNGO😛eace:😛eace:
 
[


Maccm mna shida,hivi kinondoni hakuna Mbunge,segerea,ukonga,na Ilala?

Uliwahi kusikia wanaitisha hata maandamano ya kupinga kuhamishwa kwa machinga?, siku akina mama walipoandamana ulimdikia zungu?

Ni dhahiri,kwa kuwa wabunge wa ccm, huwa hawahangaiki na matatizo ya watanzania kwa kuwa gharama za kuupata ubunge ndani ya ccm ni hatari,huwa wanachangamkia madili!

Mnyika, tunamfananisha na Daniel,2015 watanzania wanahitaji akina Jj Mnyika kama 100 hivi tu,Tanzania itakuwa Dubai ya Afrika




QUOTE=Mahesabu;12755055]Katika andiko hili la jimbo la Ubungo, je eneo letu la MANZESE, MBURAHATI, MAGOMENI n.k pameguswa na miradi ya Mnyika?? Je idadi ya wapiga kura maeneo tajwa yamefananishwa na huko Kimara, ubungo na Mbezi?[/QUOTE]
 
ni afadhari wapigwe chini wabunge wate wa upinzani kuliko kuwaweka pembe lissu na mnyika
 
Mchukueni akawe mbungu wa Ufipa lakini siyo Ubungo
 
uko sahihi kwa kiasi kikubwa sana , hakuna mwanaccm mwenye uwezo wa kumng'oa mnyika ubungo .
 
Back
Top Bottom