Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
HAAAAAAHAAA ati mnyika atarudi Bungeni, hii ni ndoto ya mchana kweupe , ubunge atausikia kwenye redio tu, na ndio sababu kaamua kujipa unaibu wa saccos ili abaki na posho ya saccos baada ya kukosa ubunge
Mnyika ni zaidi ya wabunge 100 mizigo wa ccm