Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

Mnyika hakutoa ahadi ya kuanza mradi mpya wa maji. Mnyika alitoa ahadi ya kufuatilia kukamilisha miradi ya maji. Ndivyo wabunge wote wanavyofanya.

Mnyika amefuatilia sana na rekodi zipo. Mnyika alipeleka hata hoja binafsi bungeni ya kuangalia hatua za dharura za kutatua tatizo la maji. Aliyekwamisha tunamjua, si Mnyika.

Tunajua ubaguzi wako, na roho ya chuki kwa wasio waislamu, na tutakuwa tunakumbusha hili kila mara.

Barua ya Mwisho ya Mnyika kwa JK
Nilikuwa nadhani utaweka maneno yake kwenye kampeni alivyokuwa anatoa ahadi kumbe unaniletea barua.

Najua mkishindwa hoja mnakimbilia kwenye udini.
 
Nilikuwa nadhani utaweka maneno yake kwenye kampeni alivyokuwa anatoa ahadi kumbe unaniletea barua.

Najua mkishindwa hoja mnakimbilia kwenye udini.
Udini ni ajenda yako kubwa tu, unaongoza hapa JF.

Wewe niwekee maneno yake ya kampeni, kwa kuwa ndiwe unayemhukumu kwa hayo unayoyaita maneno ya kampeni
 
Nilikuwa nadhani utaweka maneno yake kwenye kampeni alivyokuwa anatoa ahadi kumbe unaniletea barua.

Najua mkishindwa hoja mnakimbilia kwenye udini.
Maneno ya kwenye kampeni ninayo ya Kikwete: Aliahidi tatizo la maji latakuwa historia Dar. Kikwete: Tatizo la maji Dar kubaki historia

Hiyo ahadi ya Mnyika kama unayo niwekee, kama nilivyokuwekea ahadi ya anayeongoza nchi.
 
Akili yako haina akili,katika low thinkers umo ila hujitambui,no any machine which is 100% nonsense
 
Udini ni ajenda yako kubwa tu, unaongoza hapa JF.

Wewe niwekee maneno yake ya kampeni, kwa kuwa ndiwe unayemhukumu kwa hayo unayoyaita maneno ya kampeni
Hivi udini ni nini nipe maana yake.
 
Back
Top Bottom