Siku ya Kimataifa ya Saratani ya Kongosho Duniani. Watu 430,000 hufariki kila Mwaka kwa Ugonjwa huu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Siku ya Saratani ya Kongosho Duniani ni mpango wa Kimataifa unaoongeza ufahamu kuhusu Saratani ya Kongosho, kusaidia Wagonjwa na Familia zao, na kutetea ongezeko la Utafiti na utambuzi wa mapema wa Ugonjwa huu hatari.

-----
Held on November 16, 2023, World Pancreatic Cancer Day brings people around the world together to highlight the need for greater awareness, funding and research for pancreatic cancer.

World Pancreatic Cancer Day is our moment to learn more about the risks and symptoms of pancreatic cancer and on this day, organisations around the world push to do more; to learn, to teach, to advocate more research funding and the world to take notice.

This year's theme is 'Hello Pancreas'- a campaign designed to encourage individuals to be more in touch with the important role the pancreas plays in the body's everyday function. Through recognising this role, and learning more about the pancreas, The World Pancreatic Cancer Coalition hopes to make society more aware of pancreatic cancer symptoms and risks, to ultimately increase early detection and survival rate.
 
Nimemkumbuka member folk tuliyewahi kuwa nae humu kwa kipindi fulani.

Huyu jamaa alikuwa na wakati mgumu sana ktk sayari hii,Mungu aendelee kumpumzisha salama na wote waliopitia na wanaopitia mtihani awape afueni ktk masumbuko yao.
 
Inasemekana ugonjwa huu ni vigumu kuutambua kwenye hatua za awali na ikitokea ukaoneka hatua za awali uwezekano wa kupona ni mkubwa.
 
inasemekana ugonjwa huu ni vigumu kuutambua kwenye hatua za awali na ikitokea ukaoneka hatua za awali uwezekano wa kupona ni mkubwa.
Gharama ya chemotherapy yake siyo

Poa nayo

Ova
 
Siku ya Saratani ya Kongosho Duniani ni mpango wa Kimataifa unaoongeza ufahamu kuhusu Saratani ya Kongosho, kusaidia Wagonjwa na Familia zao, na kutetea ongezeko la Utafiti na utambuzi wa mapema wa Ugonjwa huu hatari.

Coalition hopes to make society more aware of pancreatic cancer symptoms and risks, to ultimately increase early detection and survival rate.
Watu wengi wanakufa maana matibabu yake ni ghali mtu wa kawaida hawezi kuafford,zaidi ya
Kusubiria kufa tu

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom