Shule walo anzisha warabu kule znz ambako ndio walipo kuwa ni wenye madaraka ni nyingi kwa propotionate ya idadi ya watu ukilinganisha na tanganyika ya wazungu
Unguja kulikuwa na shule zifutazo
Benbella
Haile salasie
Lumumba
Beut ras
Kajificheni
Forodhani
Hamamni
Darajani
Popat lal
Ngambo
Vikokotoni
Mkunazini
Na 1963 walijenga chuo cha ufundi cha mwanzo kabisa znz tech
Kule pemba waarabu walijenga
Wete boys
Wete girls
Jadida
Utaani
Michakaaeni
Madungu
Na 1963 walijenga chuo cha fidel castro
Shule zote zikiendeshwa na serikali ya mwarabu
Hivyo nakutajia ni maeneo ya mjini tu peke yake na baada ya mapinduzi walichofanya hizo shule wakazibadilisha majina na kuziita majina hayo na kikomonisti utafikiri walijenga wao.
Hizo ni shule bora zilizokuwa na kila sifa ya shule za kisasa na Wazanzibar wakishindana kupata elimu. Sasa hizo shule ni nyingi mno kwa watu laki 2 walokuwepo visiwani kabla ya mapinduzi ya tanganyika kule. Shule hizo ni nyingi ukilinganisha na shule za tanganyika zilizokuwepo wakati huo uki chukulia manani ni nchi yenye watu million10
Kule znz wakati huo kulikua na shule mbili za mission moja tumekujaniko unhuja na kizimbani ikiwa pemba na hizo zote walokuwa wakisoma ni waislam hawakuzimbia kwa sababu hawakuthubutu kuleta ujinga wa kidini.
Ni mwarabu akiwa mkuu wa nchi ndie alowapa makanisa kujenga shule hizo na pia kujenga makanisa mawili ya unguja.
Waislam wa tanganyika walikua katika hali tofauti, serikali ilifungua shule na kuzikabibidhi makanisa kuziendesha na pia serikali kuzi hudumia. Shule hizi zilikua na adha hazikuwa huru kwa vijana wankiislam kwani walilazimishwa kufanya rituals za kikristo, hapa ndio wazee wengi wakakwama ni mtihani mkubwa na hawakupata ruhsa ya kujenga shule zao ilikuwa kwa mbinde sana.
Hivyo nakuambia tena huna ujialo kuhusu znz na warabu na waislam wa nchii hii , ujualo ni chuki za sunday school basi , na mwisho warabu wamekuachia jina la mji uupendao Dar es salaam ,
Kilimanjaro kulikuwa na shule nyingi sana kuliko hata hapo Dar. Na sehemu yeyote Tanzania. Hata watoto wa nyerere walisomea huku.
Na hizi shule nyingi za wamissionary zilikuja kutaifishwa na serikali.
Waarabu waligawa elimu katika kategory mbili;
Ilimu akhera na
ilimu dunia:which means zote ni elimu zina equal weight.. Na kwakuwa zote ni ilimu. MTU anaweza ku-opt, ni aina gani ya ilimu afuate . lakini wanaZUoni wa dini wanasema ilimu akhera INA thawabu sana. Na ukijua japo herufi moja ya kwenye koran unapata thawabu nyingi.
Ni nani asiyetaka thawaBu?
Hao wazenji waliamini elimu ahera ni elimu bora kuliko hizi ya darasani.
Sio wazenji hata waislamu wa huku waliifuata hiyo kasumba. Na hii ni ideology aliopandikiza Mwarabu.
Na ndio ideology na kauli mbiu ya kundi la bokoharam kule Nigeria. Kwahiyo kwa nyie kujiona hamkusoma wakati mnayo elimu akhera ni swala la kisaikolojia zaidi.mnahitaji counseling, ili mjisikie vizuri na elimu yenu yenye thawabu. Na hapa mnamwuudhi Allah kwa kutotambua thamani ya ilimu alokuleteeni. Mnajiona mnamapungufu ye kielimu. Hamna shukrani kwa Allah. Allah anaghadhibika...
Hii kasumba haipo kwenye ukristo. Tuchukulie mfano katoliki. Wanasoma elimu zote. Ndio maana papa aliyejiuzuru ni msomi ngazi ya u-professor, huyu wa sasa ni msomi M-jesuits.
Wanasoma.maarifa ya dunia. Hata bibilia inaagiza watu kuelimika. Hawalewi tu pombe ya dini wakaacha elimu nyingine pembeni la!
Soma physics, biology, chemistry. Sijasikia majina ya kina alhaji bin ama shekh,sayyid, ustaadhi gani aligundua hiki ama kile duniani. Utakutana na majina kama Faradays, Isaac newton, Albert Einstein, Nukes theory, lermbert, Darwin you name it....
Which means elimu imeundwa na mzungu.
Na kupitia elimu yao, Wazungu walikuwa wameendelea saana na kuibadili dunia ukilinganisha na waarabu wasiokuwa na elimu. Sasa wazungu ni Christian ungetegemea Leo waarabu walielie kuwa walibaguliwa elimu na wazungu.
Kati ya mzungu na Mwarabu nani anaweza kuwezesha elimu? The answer is so obvious.na hapa utasema hoja ya Sunday school.
Tazama kisoka pia. Wazungu ndio wanapiga mpira. Waarabu wanatolewa nishai kila wanapocheza na wazungu. Qatar wamejiingiza kwenye soka kwa kuhonga lakini kwao hakuna mapenzi wala mwamko wa mpira Wa miguu.
Halafu wanataka wazungu wakienda kucheza kule worldcup wajisitiri kama wao!? Inashangaza anyway...
Kwahiyo wanaowakataza msisome elimu ya darasaninni huyo huyo Mwarabu wenu - sultani.
Ame inculcate mindset ya watwana kupenda dini na kuacha kufikiria elimu ya darasani.
Ndio maana wazenji hata wakija huku bara, wengi wao hawana uwezo mkubwa darasani ukilinganisha na watu wa huku.
Wazenji ni wazuri kwenye ku-twist hoja wanapozungumza, but they are very simple minded people.
WaZenji Wakija huku bara huwa wanapendelea kozi laini laini tu.
Hata maisha ya huko kwao ni rahisi akiwa na ka-diploma tu ama certificate anapeta sana. Manake wengi wameishia std seven au none kabisa.
Na serikali ya bara imekuwa ikiwabeba sana sana kuliko kuwafikiria watu wa huku.(I don't know why). Watu.laki mbili lakini walishindwa kusoma, pamoja na wao kunufaika na jasho la watanganyika ambao ndio wengi na wanashule chache kuliko population yao.
Tanganyika imewabeba wazenji through out the history. Hata sasa.
Hili ni tatizo la kihistoria la kubalansi power kati ya the Giant (bara) na the tiniest island(Zanzibar).
Na ndio maana kiuchumi Wazanzibar wamepiga hatua sana. Na hii ni kwakuwa wamebebwa. Wakabebeka.
Mzenji akiwa na degree humzidi! Akienda kwao anapiga hatua kubwa kimaendeleo. Japo huwa hawasomi zile kozi pasua Kichwa.
Hata bidhaa kwao zinauzwa bei rahisi kuliko bara.
Kimsingi wazenji wanabebwa. Weka hiyo akilini.
Napapenda Arusha na Kilimanjaro zaidi kuliko Dar es salaam.