Utafiti juu ya sera mfumo kristo

Utafiti juu ya sera mfumo kristo

Acha uchochoko wako,hivi wewe hujui historia imekaa vipi,hivi unajua shule na mahospitali ya mwanzo hapa Tanganyika (Tanzania) zilijengwa na makanisa,sasa kama wakristo wengi ndio walibahatika kusoma kwenye mashule hayo hivi unadhani kwenye kazi za kitaalam na uongozi watachukuliwa watu gani kam sio waliopata elimu stahiki,Usitukanishe Uislamu kwa kutoa hoja zako za kishenzi shenzi zilizojaa uchonganishi na ujinga,now am telling you the truth,msijaribu kuleta uonevu wenu eti kwa sababu wakristo huwa wanakaa kimya mnapokuwa mnatoa hoja zenu zisizokuwa na mashiko.

HIVI TUKIANZA KUWEKA KILA KITU NA KUANZA KUANGALIA UDINI TUTAFIKA KWELI,HEBU JARIBUNI KUJIKWAMUA KIELIMU,MAANA NAJUA KIUCHUMI WENGI NI WAFANYABIASHARA WAZURI NA WAKUBWA,JENGENI MASHULE NA KUWEKA MSISITIZO KWENYE ELIMU BORA,NA SIO BORA ELIMU.

KUNA USHAHIDI KWAMBA EL-HALAMAIN SEMINARY AKITOKEA MKUU ANAYEONGOZA SHULE KWENYE MISINGI YA KIELIMU ILIYO SAWA HUWA ANAONDOLEWA,BARAZA LA SHULE LIMEJAA MASHABIKI WA DINI ZAIDI KULIKO UHALISIA WA MATAKWA YA ELIMU.

JIKOMBOE NDUGU YANGU,USIWAPOTOSHE NA KUWABISHA WENZIO.
 
ni ukweli usio pingika kuwa waislam wengi wanachanganya dini na siasa
 
Acha uchochoko wako,hivi wewe hujui historia imekaa vipi,hivi unajua shule na mahospitali ya mwanzo hapa Tanganyika (Tanzania) zilijengwa na makanisa,sasa kama wakristo wengi ndio walibahatika kusoma kwenye mashule hayo hivi unadhani kwenye kazi za kitaalam na uongozi watachukuliwa watu gani kam sio waliopata elimu stahiki,Usitukanishe Uislamu kwa kutoa hoja zako za kishenzi shenzi zilizojaa uchonganishi na ujinga,now am telling you the truth,msijaribu kuleta uonevu wenu eti kwa sababu wakristo huwa wanakaa kimya mnapokuwa mnatoa hoja zenu zisizokuwa na mashiko,HIVI TUKIANZA KUWEKA KILA KITU NA KUANZA KUANGALIA UDINI TUTAFIKA KWELI,HEBU JARIBUNI KUJIKWAMUA KIELIMU,MAANA NAJUA KIUCHUMI WENGI NI WAFANYABIASHARA WAZURI NA WAKUBWA,JENGENI MASHULE NA KUWEKA MSISITIZO KWENYE ELIMU BORA,NA SIO BORA ELIMU.KUNA USHAHIDI KWAMBA EL-HALAMAIN SEMINARY AKITOKEA MKUU ANAYEONGOZA SHULE KWENYE MISINGI YA KIELIMU ILIYO SAWA HUWA ANAONDOLEWA,BARAZA LA SHULE LIMEJAA MASHABIKI WA DINI ZAIDI KULIKO UHALISIA WA MATAKWA YA ELIMU.JIKOMBOE NDUGU YANGU,USIWAPOTOSHE NA KUWABISHA WENZIO.

Nawashangaa hawa jamaa wanajua kuyaweka haya utadhani masekretari wa Kanisa Katoliki, mambo ya taaluma walitaka wafanye wao wakati walipoambiwa wasome walikataa kwa kuhofia kubatizwa. Mambo ya kitaalam tofauti na waganga wa kienyeji jamani.
 
Mkapa anayedaiwa kuwapuuza waislam alifanya haya:
1. aliwagawia chuo cha umma caha TANESCO Morogoro na waislam wakakifanya chuo kikuu chao. Fikiria angewapa wakristo kungetokea nini/
2. Ndiye aliyeruhusu wanafunzi na wafanya kazi wa kiislam kuvaa hijab shuleni na kazini. Je angeruhusu wakristo kuvaa rozari kungetokea nini?

Madai ya waislam sio realistic, hapa wanadai ni mfumo kristo ndio tatizo kwao ebu tuangalie matatizo katika nchi ambazo 100% ni waislam watupu lakini vita haziishi na malalamiko ya kunyanyaswa:
1. angalia misiri
2. tunisia
3. Libya
4. Afghanstan
5.Pakstan
6. siria
7. Mali
8. Mauritania

Nyie hambebeki hata wakristo wote wangeachia nafasi zao wakapewa waislam tutashuhudia malalamiko na mapigano miongoni mwa waislam wao kwa wao. JF ingekuwa inaruhusu matusi ningekutukana wewe uliyeleta thread hii. Bahati yako
 
Nikiangalia watu niliowahi kusoma nao waslam, wamefanikiwa zaidi kuliko hata mimi. Kama udini ungekuwepo, yule dogo aliyehinda wa kwanza alikuwa mwislam, asingetangazwa kwa uislam wake
 
waislam bana.....shule hawaendi, wakienda wanafundishwa uhasama na ubaya wa ukristo, hali inayowafanya wafeli mitihani, na wachache wanaofaulu ndo wanakuwa na akili kama za mtoa mada...kweli hawa jamaa wamelaaniwa....ukizaliwa muislam kuna disadvantage nyingi sana, ya kwanza ni kuwa hata ufanyeje hutoiona pepo, na ya pili, maisha yako yote hutoyafurahia sababu utakuwa na kinyongo na watu wote wasio waislam...ndo mana, nguruwe walifukua kaburi la huyo mohamad mara baada ya kufariki...alizarauliwa hadi na wanyama...lakini hawa wapuuzi ndo wanamuheshimu kweli..
 
aliposema uwiano wa wanafunzi wa kikristo na kiislam kua ni 1 kwa 5 na ndio hali inaendelea hivyo elimu ya juu hadi chuo kikuu sijamuelewa alikua anataka wanafunzi wengine wapewe tu marks za bure ili uwiano uwe sawa?? plz soma utafiti wa kweli ulioandikwa na Yericko Nyerere!!!!
kuna upuuz mkubwa kama kusema ujamaa na ukristo ni mmoja......... nadhan kwa kauli hii hata hao waislam watakuona huna maana maana nchi zote za ujamaa na ukomunist ndio walikua wanapinga kabisa dini ya aina yoyote ile.... iman kubwa ni maendeleo ya sayansi na teknolojia tu!!
 
Mkapa anayedaiwa kuwapuuza waislam alifanya haya:
1. aliwagawia chuo cha umma caha TANESCO Morogoro na waislam wakakifanya chuo kikuu chao. Fikiria angewapa wakristo kungetokea nini/
2. Ndiye aliyeruhusu wanafunzi na wafanya kazi wa kiislam kuvaa hijab shuleni na kazini. Je angeruhusu wakristo kuvaa rozari kungetokea nini?

Madai ya waislam sio realistic, hapa wanadai ni mfumo kristo ndio tatizo kwao ebu tuangalie matatizo katika nchi ambazo 100% ni waislam watupu lakini vita haziishi na malalamiko ya kunyanyaswa:
1. angalia misiri
2. tunisia
3. Libya
4. Afghanstan
5.Pakstan
6. siria
7. Mali
8. Mauritania

Nyie hambebeki hata wakristo wote wangeachia nafasi zao wakapewa waislam tutashuhudia malalamiko na mapigano miongoni mwa waislam wao kwa wao. JF ingekuwa inaruhusu matusi ningekutukana wewe uliyeleta thread hii. Bahati yako

Ni kweli ndugu yangu,WAUMINI wa DINI fulani hawaeleweki,always ni kulalamika jambo hili na lile,tunasahau its immpossible to equalize everything in this world,kila WATU watataka haki hata ambazo ni NGUMU kutekelezeka.Misri,Libya,Tunisia,Syria,hao wote ni waislamu,lakini VITA haikomi na haitegemewi itakoma lini,je WATANZANIA kwa nini tusijifunze na kukubali tofauti zilizopo.Tufanye jitihada za kujikomboa kuliko kudhani kuna uonevu kila wakati
 
tatizo sio utaalam tatizo unapopewa kazi ya umma hutafautishi kama ni kazi ya umma bila ya kujali dini yako...wengi mnafanya kazi kuona kama ile kazi ni ya kanisa kwa hio ntahakikisha kondoo nawapa kipaumbele hilo ndio tatizo...wataalam wapo wengi hata mabaniani lakini nao hatuwaoni pia

Kwa hiyo unataka wapewe tu kazi hata kama utaalam wao hauhitajiki??????Haueleweki na ndio maana mnaishiaga kupigwa mabomu na kujilipua pasiopokuwa na sababu za msingi,kilicowajaa ni wivu na visasi visivyokuwa na mwisho.Hata siku DUNIA hii WAKRISTO wote wakawa hawapo,still mtapigana na mtaanza kuchukuana kwa madhehebu yenu kama ilivyo IRAQ,nadhani unajua SADDAM alifanya nini.
 

nawashangaa hawa jamaa wanajua kuyaweka haya utadhani masekretari wa kanisa katoliki, mambo ya taaluma walitaka wafanye wao wakati walipoambiwa wasome walikataa kwa kuhofia kubatizwa. Mambo ya kitaalam tofauti na waganga wa kienyeji jamani.

kwani uongo? Mfano mdogo ni huu,mkwawa university, pugu secondary, je shule hizi zilikuwa za watu gani kama sio wamisionari,sasa na ukweli huu hutaki kuusikia ila unataka tuunge mkono hoja zenu za kijinga.
 
hujasoma utafiri wote..inavo onekana utafiti mzima unatokana na tafiti za wataalam wa kikristo kama john sivalon.....sasa nani wa kupotosha ..jee ni huyu padri au mleta mada ambaye ame copy tu

Wengi walioandika tafiti hizi ni WAKOMUNISTI,ambao wao hawana IMANi na mambo ya DINI,wao ni mambo ya SAYANSI na MAENDELEO,kama WACHINA.Na ndio maana watu wote wanaoonekana kuleta mambo ya BIBLIA na KORANI huwa wanaishia kuteswa.Usidanganyike na majina.Sio wote wanaoitwa majina ya kikristo ni wakristo au wanaoitwa MOHAMMED wote ni WAISLAMU.Funguka na sio kushabikia vitu usivyovijua.Hivi Chuo cha Waislamu Morogoro amabacho kilikuwa ni majengo ya TANESCO,ingekuwa ndio Wakristo wamepewa si ingekuwa nouma ya kufa mtu.Lakini WAKRISTO wameka KIMYA kwa sababu wanatambua maendeleo ya WAISLAMU ndio maendeleo ya NCHI.Tusipende kubaguana na kuchukuana mpaka mtu anaandika mfano wa kitu kinachofanana na UTAFITI,ILI TU KUONYESHA JINSI GANI WAISLAMU WANAONEWA,TUSIPENDE KKULETA UDINI.
 
kusoma wanakaza sana katika "ilim aghera" apo utackia uyu ana degree 16 lkn elimu ya taaluma kaishia la 7 afu kuna mtu kapasua mpk chuo kikuu na ana utaalamu ni co elimu aghera sasa apa kwa akili ya haraka anaajiriwa nan au nani atapewa ktengo asimamie?? iv kweli tukuweke ktengon upige ramli na kuroga watu apo tutakua tunaendelea au tutakua tunapga jaramba tu!! tukaze tusomee vitu vya maendeleo co uwe na degree 70 zczo na maana yyt
 
Naona huyu jamaa anabwabwaja ili uongo kuufanya ukweli. Unaposema UKATOLIKI usichanganye na UKRISTO kwani ukristo unamadhehebu mengi(Google "WORLD COUNCIL CHURCHES"). Mada yako nmeipenda kwani umegusa vitu fulani vyenye ukwek bt be specifiki zaidi
 
Utafiti umekaa vizuri sana mkuu. Sema kwasasa tatizo lililopo Tanzania ni kubwa sana kuliko tunavyofikiria. Unaweza kuona wachangiaji wachache hapo juu washaanza kashfa na majibu ya dhihaka. Sijui kama itafika hatua amani yetu tutailinda kwa kusimamia ukweli au ndio kupitia nguvu? Maneno ya Shaban Robert 'serikali inatakiwa kutawala nyoyo za wananchi wake na sio miili' yanatosha kwa mwenye akili kuyatatua matatizo ya waislamu na sio kuwapiga, kuwatukana, kuwafunga, n.k Ritz, THE BIG SHOW Yericko Nyerere, et al.
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli samahani nimeshindwa kuendelea kusoma ulichokiandika kwanza mpaka pale nilipoishia nimegundua udhaifu mkubwa wa utafiti wako kwanza karudie kusoma historia ya tanzania pia hivi nani anajukumu la kumupeleka mtoto shule je ni serikali au ni mtu mwenyewe kwanza namupongeza nyerere kwa kitendo alichokifanya cha kutaifisha shule zote za kidini na kuwapa waislamu nafasi kusoma mbona hayo hujayazungumza kama wewe ni mkweli coz uislamu ni ukweli kuwa mkweli acha uongo na uchochezi
 
kaka ulichokiandika hapo ni ukweli mtupu hawa jamaa hawabebeki hata wapewe nn angalia somalia asilimia 99 ya wakazi wake ni waislamu mbona hata leo amani hawna
 
mkapa anayedaiwa kuwapuuza waislam alifanya haya:
1. Aliwagawia chuo cha umma caha tanesco morogoro na waislam wakakifanya chuo kikuu chao. Fikiria angewapa wakristo kungetokea nini/
2. Ndiye aliyeruhusu wanafunzi na wafanya kazi wa kiislam kuvaa hijab shuleni na kazini. Je angeruhusu wakristo kuvaa rozari kungetokea nini?

Madai ya waislam sio realistic, hapa wanadai ni mfumo kristo ndio tatizo kwao ebu tuangalie matatizo katika nchi ambazo 100% ni waislam watupu lakini vita haziishi na malalamiko ya kunyanyaswa:
1. Angalia misiri
2. Tunisia
3. Libya
4. Afghanstan
5.pakstan
6. Siria
7. Mali
8. Mauritania

nyie hambebeki hata wakristo wote wangeachia nafasi zao wakapewa waislam tutashuhudia malalamiko na mapigano miongoni mwa waislam wao kwa wao. Jf ingekuwa inaruhusu matusi ningekutukana wewe uliyeleta thread hii. Bahati yako

mkuu pokea like yangu! Umewanyambua vizuri hawa walioshindikana!
 
kusoma wanakaza sana katika "ilim aghera" apo utackia uyu ana degree 16 lkn elimu ya taaluma kaishia la 7 afu kuna mtu kapasua mpk chuo kikuu na ana utaalamu ni co elimu aghera sasa apa kwa akili ya haraka anaajiriwa nan au nani atapewa ktengo asimamie?? iv kweli tukuweke ktengon upige ramli na kuroga watu apo tutakua tunaendelea au tutakua tunapga jaramba tu!! tukaze tusomee vitu vya maendeleo co uwe na degree 70 zczo na maana yyt
Mkuu una-point ya muhimu sana, ila uandishi wako ni kikwazo!
 
kwa utafiti ulio ufanya jaribu kurudi tena ukafanye reseach ya kutosha tena katika maraisi ambao hawatakiwi kuraumiwa ni mkapa angalia aliwapa chuo kikuu ambacho majengo yake yalikuwa ni ya tanesco je wangepewa wakristo si ingekuwa maneno matupu, pia angalia ni waislamu wangapi wanao soma st.augustine kuna rafiki zangu kibao ni waniaislamu na wansoma chuo kikuu hicho je huoni kama tafti yako imekaa kiuchochezi zaidi halafu kingine waambie waislmu wenzako warudi shule na wapende kusoma kwani siyo jukumu la serikali kuwafata wakristo au waislamu kuwaambia nendeni shule bali hilo ni jukumu la mama na baba na dada pamoja na kila mdau wa elimu hata na wewe unatakiwa uwaelimishe wenzako wasome kwa bidii
 
Back
Top Bottom