UTAFITI: Asilimia 80% ya wanawake wanaovaa suruali ni miguu fito/tooth picks

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu utafiti nilioufanya kwa takribani mwaka moja ni kwamba 80% ya wanawake wanaovaa suruali wana miguu membamba kama fito au toothpick.

TIRIRIKENI HAPA.
 
wakuu utafiti nilioufanya kwa takribani mwaka moja ni kwamba 80% ya wanawake wanaovaa suruali wana miguu membamba kama fito au toothpick. TIRIRIKENI HAPA

Nakubaliana Sana Na Wewe Tena Kwa 100% Kwa Ulichokisema Na Kuna Wengine Wana Miguu Mibaya Na Imekondeana Utadhani Kuni Za Nyongeza.
 
Nakubaliana Sana Na Wewe Tena Kwa 100% Kwa Ulichokisema Na Kuna Wengine Wana Miguu Mibaya Na Imekondeana Utadhani Kuni Za Nyongeza.

Mkuu kuna muigizaji mmoja aliwahi kuwa miss Tanzania miaka ya nyuma, ana sifa zote ulizozitaja ila sijawahi kumuona amevaa suruali, anavaaga magauni, marefu na mafupi na sketi fupi pia. Hivyo punguza hizo asilimia zako
 
Siyo udini,ila nauliza tu, ni dini gani wanaongoza kuvaa suruali ili kutimiza azma hiyo aliyosema mdau ya kurusha watu roho?! Iwekewe Asilimia!
 
Lakini suruali zinawasaidia hasa wale wenye vi hips vilivyochomoza,ila kwa wale wasio na hips inakuwa sio kiviile.
 
Heaven Sent ile siku nlipo kuona ulivaa surual je ni kweli? Huu utafit??
Kaboom nipe uzoef wako...
Mkuu kiujumla kama mtu ana tatizo/upungufu flani kwenye mwili wake na hayuko comfortable watu kuuona ni dhahiri kwamba atatafuta namna ya kuucover..Hiyo ni kwa wote..Wanaume na wanawake...Ila wapo ambao wana tatizo lakini still wako comfortable wala hawajali..

So kujibu swali la mtoa mada..Nadhani inategemea ntu na ntu..Wapo wanaovaa kwa ajili hiyo ya kuficha fito zao
 
Kweli, kaka
 
Back
Top Bottom