utafanyaje?

angomwile

Member
Sep 10, 2011
84
26
hivi kwa mfano umefumaniwa na mke wa mtu halafu mwenye mke anakuambia chagua adhabu kati ya hizi:-1-akutembeze uchi mitaani
2-akugeuze ale tigo
utachagua ipi?
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,378
hivi kwa mfano umefumaniwa na mke wa mtu halafu mwenye mke anakuambia chagua adhabu kati ya hizi:-1-akutembeze uchi mitaani
2-akugeuze ale tigo
utachagua ipi?
najua wewe ungechagua adhabu ya pili,mimi ningetembea uchi mitaani kwakuwa huwa nawinda mbali na mitaa yangu.
 

mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,780
1,829
Tumkumbuke mungu pia, Mada nyengine hazina faida kwa jamii.
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,914
1,115
We Ulipofumaniwa Ulichagua Adhahu Gani? Kwanini Ufumaniwe na mke wa watu wakati wanawake kila kona wanatafuta angalau Bf.
 

hayaka

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
474
100
we ndo mwanaharamu unaetembea na wake za watu, ukifumwa utaliwa kiboga na kutembezwa uchi. Jiandae tembea na mafuta.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom