Utafanya nini endapo mpenzi wako kaku-block?

Thanks u Mkuu Asante sana NIMEKUELEWA VYEMA
Nimesoma maelezo yako mwanzo mpaka mwisho kuna jambo nmejifunza bro.. kwenye swala la mapenzi ni la watu wote wawil kufurahia penzi sasa endapo mmoja akiwa na hofu na uzun kwenye penzi basi hilo sio penzi tena af bro mapenzi yanasema kwamba ukiona mtu amekublock,akutafti kwa sim au kwa sms basi ww usiumize kichwa kumuulzia kwann anafanya ivo we bro vunga tu fanya mambo yako maana kwenye swala la mapenzi kama angekuw anakupenda angefanya ivo bila hata ya wew kuangaika basi hio inadhihirisha kuna mtu mwingine anafanyiwa hayo ambayo akufanyii wewe kama kutextiw kila mda na kutoblockiw lkn bro we fanya inshu zako vaa vizuri af ata ukimuona ongea nae lkn usioneshe unashida sana coz itakusaidia kuvuta hisia zake kwamba yan huyu mtu kwa yote haya bado hawazi .. atarudi af pia ogopa kuwa mnyonge kwenye mipaka yako bro .... lkn take care kwa hzo nilokwambia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika vitu ambavyo hutakiwi kuviamini sana ni mapenzi.mkuu chukulia kawaida sana jitahidi kuyaweka mawazo yako mbali naye fanya shughuli zako zingatia ratiba zako kikubwa usiwe dhaifu acha kuwa mtumwa kwa mtu asiye na uitaji nawe.

kamwe huwezi kuunganisha mkono na ngumi iliyo kunjwa
 
Salaam wakuu,

Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.

Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika njia zote za mawasiliano ya kijamii.

Sababu ni kuhisiwa nime-CHEAT lakini katika ukweli halisi sijafanya hivyo wala sijawaza kufanya; natamani mpenzi wangu anipe walau nafasi niweze kuzungumzia hili labda atanielewa lakini amekuwa akinikwepa na kutotaka kuniona kabisa. Mbaya zaidi kani-block kila sehemu za mawasiliano.

Kwa wataalamu wa mahusiano, nini naweza kufanya kuyaokoa mahusiano yangu maana bado nampenda na kuwa na tofauti naye kumeniathiri sana katika harakari zangu.

Nimetumia marafiki zake lakini bado hakuna dalili njema ya marudiano sababu kila contact nitakayo mtafuta, akijuwa ni mimi tu, nachezea kufuli.

Kiukweli inaniuma hasa mwaka mnaenda kwisha bila mapatano, na ukizingatia mazingira ya yeye kuhisi nimem-CHEAT yana asilimia ndogo sana.

Na kuhusu mimi binafsi, nampenda sana na sijawahi waza kuchepuka since naanza naye relationship.

Imebidi kuomba basi kama imefika kikomo aseme huenda moyo ukawa na amani lakini hayupo tayari kuwa wazi kama bado ananipenda au la.

Wataalamu wa mahusiano tusaidiane katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
unang'ang'ania nini wewe! umerogwa yaani anakuona fara unavyohangaika hivyo. umeachwa, shukuru move on. mahusiano yenyewe haramu ,halafu unatusumbua hapa
 
Dah,usiombe kuchezea block,inaumiza hasa kama mlikua mnapendana, Kuna mtu alinipa blocks kila mahali ,nilipata tabu sanaa ila baadaye maumivu yanapungua na unamove on mazima,so naomba ukiweza punguza usumbufu wa kumtafuta atajihisi huwezi bila yeye aargh,kama alikua anakupima Atarudi tu,kama alidhamiria kukuacha basii, utapata wengine bana.

Ila nawewe kwanini mpaka akuhisi unamcheat?, why kuwe na mazingira hayo au ulitaka kumcheat kweli? Maana na nyie wanaume mmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brooo unatafuta balaa tena balaa kubwa sana mtu akishakufanyia ivyoo jaribu Ku move on tafuta faraja kwingine japo roho itauma ila tambua ukijirudisha kwake kubali kuwa punda utapelekeshwa hadi ukome tfuta kitu kipya akijua una mwingine nakupa miezi mi2 atakutafuta mwenyewe wala usijisumbua na uyoo inaonekana hakutaki ndyo maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaonekana bado mgeni mapenzini apo ameisev adi kwenye medulla oblongata sasa kuna kitu tena apo mwache ateseke maana ata sisi tuliteseka hadi saivi tumekuwa makonkodi
Piga moyo konde halafu sahau kama uliwahi kutana nae kama haujakariri namba yake ukiifuta utakua umefanya jambo la maana na usije anza itafuta namba tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mmejuana ukubwani alaf anasababisha mambo yako yasiende duuh, utakua umepewa limbwata c bure
Salaam wakuu,

Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.

Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika njia zote za mawasiliano ya kijamii.

Sababu ni kuhisiwa nime-CHEAT lakini katika ukweli halisi sijafanya hivyo wala sijawaza kufanya; natamani mpenzi wangu anipe walau nafasi niweze kuzungumzia hili labda atanielewa lakini amekuwa akinikwepa na kutotaka kuniona kabisa. Mbaya zaidi kani-block kila sehemu za mawasiliano.

Kwa wataalamu wa mahusiano, nini naweza kufanya kuyaokoa mahusiano yangu maana bado nampenda na kuwa na tofauti naye kumeniathiri sana katika harakari zangu.

Nimetumia marafiki zake lakini bado hakuna dalili njema ya marudiano sababu kila contact nitakayo mtafuta, akijuwa ni mimi tu, nachezea kufuli.

Kiukweli inaniuma hasa mwaka mnaenda kwisha bila mapatano, na ukizingatia mazingira ya yeye kuhisi nimem-CHEAT yana asilimia ndogo sana.

Na kuhusu mimi binafsi, nampenda sana na sijawahi waza kuchepuka since naanza naye relationship.

Imebidi kuomba basi kama imefika kikomo aseme huenda moyo ukawa na amani lakini hayupo tayari kuwa wazi kama bado ananipenda au la.

Wataalamu wa mahusiano tusaidiane katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M block na wewe au kama vipi badilisha line kabisa ili na yeye aanze kujutia upumbavu wake.
Na wewe punguza useng* kuna kitu umefanya hadi akafanya maamuzi hayo
 
mapenzi ya watoto bana,hivi wanawake wote hawa,we bado unalilia k ya mwanamke mmoja?angalia demu mwingine,huyo anaefikia hadi kukublock ni hakupendi.
 
Acha utoto wewe kijana uliyebalehe juzi. Umeblokiwa, unang'ang'ania nini sasa. Unadhani uko peke yako? Wengine wameshaziba nafasi hiyo. Jiongeze acha kulialia hapa jukwaani.
 
Mm akiblock nablock kisha nafta contact zake zoooote. km namdai nitaenda police
 
Umemtumia pesa?..... Hebu Fanya hivi muandalie surprise moja matata then ongea na rafiki yake aje nae eneo la tukio bila kujua anapelekwa wapi, akifika hapo usipoteze nafasi hata kama kulia we lia tu, atakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wakuu,

Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.

Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika njia zote za mawasiliano ya kijamii.

Sababu ni kuhisiwa nime-CHEAT lakini katika ukweli halisi sijafanya hivyo wala sijawaza kufanya; natamani mpenzi wangu anipe walau nafasi niweze kuzungumzia hili labda atanielewa lakini amekuwa akinikwepa na kutotaka kuniona kabisa. Mbaya zaidi kani-block kila sehemu za mawasiliano.

Kwa wataalamu wa mahusiano, nini naweza kufanya kuyaokoa mahusiano yangu maana bado nampenda na kuwa na tofauti naye kumeniathiri sana katika harakari zangu.

Nimetumia marafiki zake lakini bado hakuna dalili njema ya marudiano sababu kila contact nitakayo mtafuta, akijuwa ni mimi tu, nachezea kufuli.

Kiukweli inaniuma hasa mwaka mnaenda kwisha bila mapatano, na ukizingatia mazingira ya yeye kuhisi nimem-CHEAT yana asilimia ndogo sana.

Na kuhusu mimi binafsi, nampenda sana na sijawahi waza kuchepuka since naanza naye relationship.

Imebidi kuomba basi kama imefika kikomo aseme huenda moyo ukawa na amani lakini hayupo tayari kuwa wazi kama bado ananipenda au la.

Wataalamu wa mahusiano tusaidiane katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom