Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,818
- 40,584
Embu nishike haswa, halafu nitathmini hii kauli yangu tena.Hakunaga hio

Wacha useng.e pissi zote mtaa unahaha nini?mimi uniblock halafu nikutafute tena?never ever.Salaam wakuu,
Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.
Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika njia zote za mawasiliano ya kijamii.
Sababu ni kuhisiwa nime-CHEAT lakini katika ukweli halisi sijafanya hivyo wala sijawaza kufanya; natamani mpenzi wangu anipe walau nafasi niweze kuzungumzia hili labda atanielewa lakini amekuwa akinikwepa na kutotaka kuniona kabisa. Mbaya zaidi kani-block kila sehemu za mawasiliano.
Kwa wataalamu wa mahusiano, nini naweza kufanya kuyaokoa mahusiano yangu maana bado nampenda na kuwa na tofauti naye kumeniathiri sana katika harakari zangu.
Nimetumia marafiki zake lakini bado hakuna dalili njema ya marudiano sababu kila contact nitakayo mtafuta, akijuwa ni mimi tu, nachezea kufuli.
Kiukweli inaniuma hasa mwaka mnaenda kwisha bila mapatano, na ukizingatia mazingira ya yeye kuhisi nimem-CHEAT yana asilimia ndogo sana.
Na kuhusu mimi binafsi, nampenda sana na sijawahi waza kuchepuka since naanza naye relationship.
Imebidi kuomba basi kama imefika kikomo aseme huenda moyo ukawa na amani lakini hayupo tayari kuwa wazi kama bado ananipenda au la.
Wataalamu wa mahusiano tusaidiane katika hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nandio Anavyo Dai Kuwa Atanitafuta Lkn Siku Zinazidi Kwenda Hakuna Dalili Yyt
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea na ndugu yake wa damu kama yupo au mtu wake wa karibu. Niliwahi kufanya hivyo kibinti kiliniletea ujinga sasa mdogo wake alikuwa kisu kuliko yeye nikala na nikampa bonge la zawadi. Kilichofuatia ni kila siku yule mtu ni majuto tuu na kaharibikiwa kabisa. NB ukifanya hivyo basi automatically upendo kwa yule mwingine unaondoka kabisaa na hutomuwazia tena!Salaam wakuu,
Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.
Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika njia zote za mawasiliano ya kijamii.
Sababu ni kuhisiwa nime-CHEAT lakini katika ukweli halisi sijafanya hivyo wala sijawaza kufanya; natamani mpenzi wangu anipe walau nafasi niweze kuzungumzia hili labda atanielewa lakini amekuwa akinikwepa na kutotaka kuniona kabisa. Mbaya zaidi kani-block kila sehemu za mawasiliano.
Kwa wataalamu wa mahusiano, nini naweza kufanya kuyaokoa mahusiano yangu maana bado nampenda na kuwa na tofauti naye kumeniathiri sana katika harakari zangu.
Nimetumia marafiki zake lakini bado hakuna dalili njema ya marudiano sababu kila contact nitakayo mtafuta, akijuwa ni mimi tu, nachezea kufuli.
Kiukweli inaniuma hasa mwaka mnaenda kwisha bila mapatano, na ukizingatia mazingira ya yeye kuhisi nimem-CHEAT yana asilimia ndogo sana.
Na kuhusu mimi binafsi, nampenda sana na sijawahi waza kuchepuka since naanza naye relationship.
Imebidi kuomba basi kama imefika kikomo aseme huenda moyo ukawa na amani lakini hayupo tayari kuwa wazi kama bado ananipenda au la.
Wataalamu wa mahusiano tusaidiane katika hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utazamaje kwa demu mzima mzima? Mwanamke ninayeweza kumpenda mazima maxima ni mama yangu tuu,,, wengine ni kuzoeana tuuMkuu Hakuna kitu Hatari Kama Uanze Mahusiano Namtu Ukiwa Uja fall Kiivyo Lkn Mkiwa ndani Akaku Teach Kupenda Kweli kweli Mara vuu Anakuukataa Inauma Kinomaa Maana Unakuwa umezama Yote yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdodo wng pole san ..ucpende hvo ktk hii dunia ...uctumie nguv kubwa kurudisha penzi lililo mfu ni sum kubwa na hapo ndipo unapo jidhihirisha wew ni dhaifu sana.Salaam wakuu,
Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.
Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika njia zote za mawasiliano ya kijamii.
Sababu ni kuhisiwa nime-CHEAT lakini katika ukweli halisi sijafanya hivyo wala sijawaza kufanya; natamani mpenzi wangu anipe walau nafasi niweze kuzungumzia hili labda atanielewa lakini amekuwa akinikwepa na kutotaka kuniona kabisa. Mbaya zaidi kani-block kila sehemu za mawasiliano.
Kwa wataalamu wa mahusiano, nini naweza kufanya kuyaokoa mahusiano yangu maana bado nampenda na kuwa na tofauti naye kumeniathiri sana katika harakari zangu.
Nimetumia marafiki zake lakini bado hakuna dalili njema ya marudiano sababu kila contact nitakayo mtafuta, akijuwa ni mimi tu, nachezea kufuli.
Kiukweli inaniuma hasa mwaka mnaenda kwisha bila mapatano, na ukizingatia mazingira ya yeye kuhisi nimem-CHEAT yana asilimia ndogo sana.
Na kuhusu mimi binafsi, nampenda sana na sijawahi waza kuchepuka since naanza naye relationship.
Imebidi kuomba basi kama imefika kikomo aseme huenda moyo ukawa na amani lakini hayupo tayari kuwa wazi kama bado ananipenda au la.
Wataalamu wa mahusiano tusaidiane katika hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdodo wng pole san ..ucpende hvo ktk hii dunia ...uctumie nguv kubwa kurudisha penzi lililo mfu ni sum kubwa na hapo ndipo unapo jidhihirisha wew ni dhaifu sana.
NOTE😛enda kiasi ,share naye mawazo,amini kiasi,jitoe kadri ya uwezo wako but ucfanye beyond ua capacity ili kumfurahisha plus akili kichwani amini ctakuona humu tena unalia kuhusu hizi mambo.