Utafanya nini endapo mpenzi wako kaku-block?

Utafanya nini endapo mpenzi wako kaku-block?

Mkuu Hakuna kitu Hatari Kama Uanze Mahusiano Namtu Ukiwa Uja fall Kiivyo Lkn Mkiwa ndani Akaku Teach Kupenda Kweli kweli Mara vuu Anakuukataa Inauma Kinomaa Maana Unakuwa umezama Yote yote
kwanza we me au ke? Tuanzie hapo kwanza kama wewe ni kiume pole sana kwasababu unaonekana penda penda,,, demu ajifanya kususa nampotezea Wala hainipi shida,, ntaumia tuu endepo hajanipa k lakini kama ameshanipa akisusa asuse tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2] You made my night
Mapenzi We Sikia Tu Kwa Jirani Wakivurugana Si Kwako
Hasa Ukikaa Pekeako Nakuanza Ku miss Zile Movements
Kuna muda ninamblock usiku nikiamka ninawaza labda alituma ki massage ngoja mifungue nione. Ukifungua holaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hakupendi mkuu, alikua anatamani siku ipatikane sababu muachane.
Kwahiyo kama ameku block usihangaike wewe tulia. Kama ni wako atakua wako, lakini kama si wako ni si wako huwezi jua nini kinaepushika juu ya kuachana kwenu.

Hivi unatambua kuwa ukikubali matokeo na uka move on, utakua poa sana, na kumbuka kuna mwanamke au wanawake wazuri zaidi yake wanatamani kuwa na wewe?

Wewe achana nae fanya mambo ya msingi, kama wako ni wako na kama si wako basi si wako tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nimekuelewa Vyema SANA
Words 100% Nashukuru sana Mkuu
Huyo hakupendi mkuu, alikua anatamani siku ipatikane sababu muachane.
Kwahiyo kama ameku block usihangaike wewe tulia. Kama ni wako atakua wako, lakini kama si wako ni si wako huwezi jua nini kinaepushika juu ya kuachana kwenu.
Hivi unatambua kuwa ukikubali matokeo na uka move on, utakua poa sana, na kumbuka kuna mwanamke au wanawake wazuri zaidi yake wanatamani kuwa na wewe.?

Wewe achana nae fanya mambo ya msingi, kama wako ni wako na kama si wako basi si wako tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida moja waliyonayo wanawake...

Ni kawaida kwao kumtesa na kumkosa mwanaume mwenye upendo wa kweli.

Hapa Utapata ushaur mwingi ambao imetoka kwa experience tofauti na yako.

Kwa mfano Mimi binafsi, mwanamke akiringa, huwa sihitaji kupoteza muda wangu ivo hunilazimu namimi kumpotezea nikijipa moyo kua sio fungu langu, nitampata wakufanana, kwanza Mimi ni HB, yeye ni mbaya ...

Nikatika kujipa MOYO, hujikuta
Naishi na changamoto iyo kama sehem ya maisha ivo hainisumbui
 
True Brother
Shida moja waliyonayo wanawake.

Ni kawaida kwao kumtesa na kumkosa mwanaume mwenye upendo wa kweli.

Hapa Utapata ushaur mwingi ambao imetoka kwa experience tofauti nayako.

Kwa mfano Mimi binafsi, mwanamke akiringa, huwa sihitaji kupoteza muda wangu ivo hunilazimu namimi kumpotezea nikijipa moyo kua sio fungu langu, nitampata wakufanana, kwanza Mimi ni HB, yeye ni mbaya ...

Nikatika kujipa MOYO, hujikuta
Naishi na changamoto iyo kama sehem ya maisha ivo hainisumbui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu tuliza akili, USIJE KURUHUSU MWANAMKE A.K.A MAPENZI YAKAKUTENGANISHA NA UFANISI WA MAISHA YAKO...

Hawa watu huwa hawaaminiki ..

"Siku ukiacha kumfukuzia huyo mwanamke, ukaanza kufukuzia maisha , yeye mwenyewe ataanza kukufukuzia kwa kasi ya 5G"

WEWE ni bora kuliko yeye, acha kutekwa nahisia ,,Muda Ndio mwalimu sahihi wa wanawake.
 
Nimepata experience Nzuri Sana Kupitia Huu Uzi
I'll do it for action 100%

Back
Top Bottom