Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,927
- 131,714
Aah liker leo umekua commenter?Shukuru unachezea block ila kuna njemba imekuzidi maarifa,kikubwa uhai tu izo zingine sababu ya kutafuta umuache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah liker leo umekua commenter?Shukuru unachezea block ila kuna njemba imekuzidi maarifa,kikubwa uhai tu izo zingine sababu ya kutafuta umuache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah liker leo umekua commenter?
Piga moyo konde halafu sahau kama uliwahi kutana nae kama haujakariri namba yake ukiifuta utakua umefanya jambo la maana na usije anza itafuta namba tena
Shukuru unachezea block ila kuna njemba imekuzidi maarifa,kikubwa uhai tu izo zingine sababu ya kutafuta umuache.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuuuuuhShukuru unachezea block ila kuna njemba imekuzidi maarifa,kikubwa uhai tu izo zingine sababu ya kutafuta umuache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh kuna watu mnateseka aisee.[emoji3][emoji3]
Mkuu si uendelee na mambo yako tu.
Wadau walikua wanahisi mshikaji ni robot machineMwenyewe nimeshangaa
Huyo alikuwa anakulia timing ujichanganye tu apate sababu.
Kwahiyo mkuu tafuta chombo kingine, hicho hakikuelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hajaniblock lakini amenikatia line. Nikiingia ninamuona online lakini hatuna mawasiliano. Ninawaza sijui nmblock?
Mimi aliniblock hivo bahati nzuri alianza kuonesha dalili mapema hivo nishajiaandaa kisaikolojia. Nikatafuta namba tofauti na zile kadhaa wnazojua nikapiga akaniskia akakata simu na muda huo nishatype text, nilimshukuru kwa upendo wake, nikamsifu kwa uzuri wake kisha kwaheri. Miezi kadhaa badae ananitafuta eti kwanini namfatilia, nikamtukana ovyo. Akaita kaka yake, nikatukana ovyo nikamuacha na maisha yake. Nilifanya hivi ili tusirudiane
Subiri nije nikutese na ww ndo utajuaMmmh kuna watu mnateseka aisee.[emoji3][emoji3]
Mkuu si uendelee na mambo yako tu.
Finally nimekutana na comment yako mkuu, natamani nikupe likes hata 1,000..!! Jitahidi kutia neno hivii ndugu zako tunabarikiwa mno.!!Shukuru unachezea block ila kuna njemba imekuzidi maarifa,kikubwa uhai tu izo zingine sababu ya kutafuta umuache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oky pole lakiniSijaikariri Kiukweli Since Morning Nimei Futa Maana Nilimtafuta Kwa number flan Nayo Ikachezea Kufuli
Sent using Jamii Forums mobile app