Aisee umeelezea mpaka sijui hata niseme nini,ila kiufupi tu hongera mkuu and i hope ndoa yenu imejaa furaha na shangwe all the best mkuupesa aina nafasi kwa mkewangu kipenzi ambaye nikimuangalia ananivutia nikirudi nyumbani chakura ananipika amenizalia mabinti warembo wawili wazuri
wakati wa kukatatamaa unitia moyo
nikikosa pesa hunipumbaza kwa tabasamu mwanana penzi la haja akinikosea huniomba msamaha nikimuudhi unipa makavu kwa busara
nikiinua sauti juu yeye huipunguza
yaan na vire alivyo MREMBO na anavyojua kuhutumia mwili wake vizuri kunipumbaza akili yangu wakati tumbo kitandani
na vire ananyompenda na kumlea MAMAANGU kipenzi ambaye sasa anaingia uzeen na km unavyojua wakwe wa kike wakienda uzeen walivyo na maudhi
na ndie mlinzi pekee wa nyumbani kwangu
HIVYO PESA AINA THAMANI KWA MKEWANGU KIPENZI NA HAKUNA HALI YOYOTE ITAKAYOBADILISHA HILO
Niko poa BinamuBinamu mzima?
Kama mfano wa picha anngeweka iyo ya kwenye avatar yako hakika ningechagua pesaKwa hiyo mifano uliyotoa hapo moja kwa moja mi nachagua mume
Sahihi kbs mumeMume of course
Pesa tutatafuta
Asante kwa mchango wako cyrustheruler ni kweli kabisa though wapo ambao mali na pesa means kila kitu katika maisha yaoPesa ni makaratasi tu nafsi mali msizipe nafasi
Kiongozi, Pythagoras watu hupenda ku-flow with the rhythm. Kila siku humu utaona posts watu wameweka pesa mbele, wanawake huwakimbia waume zao just coz they're broke, watu hawapendi kuwa na mahusiano na broke-as* ndio maana siku hizi hata vijana wa kiume wanaangalia pia nani wa kudate nae, broke-as* wengi tunapata shida kuwa na wenza au ku-maintain relationships.Duuuh!!! Ukistaajabu ya musa lazima na ya.firauni uyaone??
Kwa majibu yenu sielewi kwa nini kila siku mnalalmika kuwa pesa na mali vimeharibu mahusiano?? Kila mara hapa mnakuja na nyuzi kulalama demu/mke kawaacha sababu ya pesa/mali.
Leo mbona mko tofauti mnajifanya mnawapenda wake zenu/waume zenu dhidi ya pesa/mali.
Dah Eli79 haya maswali yako ni so technical but nimefurahi angalau umeleta kitu tofauti japo ni magumu nitajitahidi kuyajibu kama ifuatavyoLabda waliooa/walioolewa wanaweza kuja na hitimisho tofauti kidogo? Sijui...
Kwa nini basi nyumba ikikosa pesa hata mapendo hupungua? Kwa nini baadhi ya wanawake huwakimbia waume zao pindi wanapokosa pesa?
Kuna wanaume wengine wanaenda as far as kusema "nikikosa pesa hata kusimamisha siwezi". Haya yana maana gani hasa? Blue G naomba majibu..
Mtu yeyote anathamani zaidi ya pesaAsante mkuu Balokola kwa mchango wako lakini mkuu je unakubaliana na mimi kwamba wapo watu ambao wangechagua pesa over their spouses au unafikiria haya mambo ni ya kufikirika tu?

Kwanza kabisa kupungua kwa mapendo ndani ya nyumba kwa sababu ya pesa kupungua hakuanzi hivi hivi,kunaanzia mbali sana mkuu kunaanzia kwenye nini msingi wa mapenzi yenu au union yenu,je mliunganishwa kwa sababu ya pesa?mlipendana?mlitaka kukuza mali zenu ?n.k ikiwa uniona yenu ilikuwa ni kwa sababu ya pesa then its too obvious that siku pesa zikipungua ndani ya nyumba yenu lazima upendo upungue tu kwa sababu upendo wenu msingi wake ni pesa,lakini ikiwa mlipendana kwa dhati na mmeungana kwa sababu ya hisia zenye nguvu kati yenu hata pesha zikiisha kwenu sio shida kwa sababu sio pesa zilizowafanya mkaungana natumai kwa hilo moja nimejaribu kulijibuLabda waliooa/walioolewa wanaweza kuja na hitimisho tofauti kidogo? Sijui...
Kwa nini basi nyumba ikikosa pesa hata mapendo hupungua? Kwa nini baadhi ya wanawake huwakimbia waume zao pindi wanapokosa pesa?
Kuna wanaume wengine wanaenda as far as kusema "nikikosa pesa hata kusimamisha siwezi". Haya yana maana gani hasa? Blue G naomba majibu..
La pili ni kweli baadhi ya wanawake huwakimbua waume zao wakishakosa pesa na hapa jibu langu ni kama lile la kwanza wanawake wa aina hii wanakuwa wapo na waume zao kwa sababu ya pesa na sio kwa sababu wana mapenzi na waume zao na ndo maana wanaume wengi waliona na pesa wanafahamu fika kwamba ni ngumu kupata mke anayekupenda kwa dhati ndio maana kuna movie nyingi zinaonesha jinsi wanaume wenye pesa wanavyotumia technic ya kujifanya hawana kitu ili tu wawapate wanawake watakaowapenda for who they are and not for what they have mfano movie ya eddie murphy coming to america na hata ya hapa hapa bongo best wifeLabda waliooa/walioolewa wanaweza kuja na hitimisho tofauti kidogo? Sijui...
Kwa nini basi nyumba ikikosa pesa hata mapendo hupungua? Kwa nini baadhi ya wanawake huwakimbia waume zao pindi wanapokosa pesa?
Kuna wanaume wengine wanaenda as far as kusema "nikikosa pesa hata kusimamisha siwezi". Haya yana maana gani hasa? Blue G naomba majibu..
La mwisho Eli79 kwamba nikikosa pesa hata kusimamisha siwezi dah hilo gumu kujibu ila labda ni mindset ya mtu tu ila nadhani wenye jinsia watajibu vizuri zaidi kama kweli wapo walio hivyoLabda waliooa/walioolewa wanaweza kuja na hitimisho tofauti kidogo? Sijui...